CHUMA BLOG
![]()
HIVI karibuni yaliibuka madai kuwa mshikaji aliyejipatia umaarufu kupitia Shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan ana-date na Video Queen Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ lakini siri ya uhusiano wa wawili hao imefichuka. Ubuyu wa Idris na Lulu Diva kuenea ulikuja baada ya Idris kutupia picha ya mwanadada huyo kwenye ukurasa wa Instagram kisha kuandika; Lulu Sultan, ambapo baada ya kufanya hivyo watu wengi walianza kumjia juu Idris kutokana na staili yake ya kubadili wasichana.
![]()
Hata hivyo, kufuatia maneno makali aliyotupiwa Idris mtandaoni, Ijumaa lilimtafuta Lulu na kumuuliza kilichopo kati yake na Big Brother huyo ambapo alifunguka kuwa, wao ni ndugu kwani akimuona Idris anamuita kaka yake, mtoto
wa baba mkubwa. “Mimi nimeshangaa kusikia eti natoka na Idris, jamani hivi unaweza kutembea na kaka yako kweli? Mimi na Idris ni mtoto wa baba mkuwa na baba mdogo, Sultan ni jina la ukoo hivyo watu waache kuzusha vitu wasivyojua,” alisema Lulu Diva huku Idris naye akipigilia msumari kwa kusema; “Watu bwana, yaani nisimposti dada yangu.”
SIRI

Idris Sultan akiwa na mpenzi wake Wema Sepetu.