KUMBUKUMBU: Siku kama hii ya leo
KUMBUKUMBU: Siku kama hii ya leo, mwaka 1976, kiongozi wa kimapinduzi wa China, Mao Zedong afariki dunia huko Beijing, akiwa na miaka 82Chuma Blog
View ArticleJeshi la Polisi limemtaka dereva wa Tundu Lissu ajisalimishe kwa DCI Dodoma...
DODOMA: Jeshi la Polisi limeyakamata magari 8 aina ya Nissan Patrol kwa ajili ya uchunguzi wa tukio la kupigwa kwa risasi Tundu Lissu.Jeshi la Polisi pia limemtaka Dereva wa Mbunge wa Singida...
View ArticlePolisi Mkoa wa Kusini Pemba linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za...
ZANZIBAR: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za kukutwa na kete 3621 za Dawa za Kulevya.Jeshi la Polisi limesema kuwa idadi hiyo waliyoikamata ni kubwa...
View ArticleRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpatia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpatia kitafunwa Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh abubakary Zubeiry Ally wakati wa hafla ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa...
View ArticleARUSHA: Kichanga kinachokadiriwa kuwa na umri wa siku moja kimeokotwa kikiwa...
ARUSHA: Kichanga kinachokadiriwa kuwa na umri wa siku moja kimeokotwa kikiwa kimefariki na kutelekezwa kwenye mfereji wa kupitisha maji machafu katika mtaa wa Ali Nyanya huko Unga Limited.Vyombo vya...
View ArticleWatu 8 wafariki kwa kupigwa risasi na mtu mmoja ambaye pia ameuawa kwa...
MAREKANI: Watu 8 wafariki kwa kupigwa risasi na mtu mmoja ambaye pia ameuawa kwa kupigwa risasi na Askari wa Polisi. .Watu hao kwa pamoja walikuwa wakiangalia mpira wa miguu katika nyumba moja iliyopo...
View ArticleRais Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea hospitali ya Jeshi la Ulinzi la...
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea hospitali ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo,Jijini Dar es Salaam nakumjulia hali Meja Jenerali Mstaafu Vincent Mritaba aliyelazwa...
View ArticleSpika Job Ndugai amesema anao uwezo wa kumzuia Mbunge wa Kigoma Mjini
BUNGENI, DODOMA: Spika Job Ndugai amesema anao uwezo wa kumzuia Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ambaye pia ni kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo) kuzungumza chochote Bungeni miaka yote ya Ubunge...
View ArticlePolisi limeripoti kumuua anayedaiwa kuwa kinara wa ujambazi katika mabenki
DAR: Jeshi la Polisi limeripoti kumuua anayedaiwa kuwa kinara wa ujambazi katika mabenki, Rashid Kapela ambaye pia anadaiwa ndiye aliyeongoza mauaji ya askari 8 huko Kibiti..Kwa mujibu wa Kamanda...
View ArticleMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yamuachia HURU Mfanyabiashara Yusuph Manji
DAR: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yamuachia HURU Mfanyabiashara Yusuph Manji katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikimkabili. DPP asema hana nia ya kuendelea nayo.Mnamo Julai 5, 2017, Mahakama ya...
View ArticleWatathmini wa Almasi wa Serikali, kutoka Wizara ya Nishati na Madini...
KISUTU, DAR: Watathmini wa Almasi wa Serikali, kutoka Wizara ya Nishati na Madini wamefikishwa Mahakamani wakikabiliwa na mashitaka ya kusababisha hasara ya Sh. bilioni 2. 4..Upelelezi wa shauri hilo...
View ArticleAskofu Gwajima ameshinda kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha
KISUTU, DAR: Askofu Gwajima ameshinda kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha dhidi ya Jamhuri. Hakimu aitaka Jamhuri kumrudishia mkoba wake wenye silaha hiyo.Akisoma hukumu ya kesi hiyo ya mwaka 2015,...
View ArticleWabunge waenda hospitali kumjulia hali Tundu Lissu huko Nairobi
KENYA: Mbunge wa Singida, Lazaro Nyalandu (CCM) akiwa na Wabunge wa CHADEMA wakiwemo Godbless Lema na Peter Msigwa, alipoenda hospitali kumjulia hali Tundu Lissu huko Nairobi.Lazaro Nyalandu na Tundu...
View ArticleHabari Zilizotufikia UNGUJA: Kituo cha Mafuta cha United Petroleum kimeungua...
UNGUJA: Kituo cha Mafuta cha United Petroleum kimeungua moto. Kikosi cha zima moto kinaendelea na zoezi la ukoajiKituo hicho ni mali ya Mfanyabiashara Said Salim BakhresaChuma Blog
View ArticleRais John Magufuli ametoa nafasi mpya za ajira 3,000
Rais John Magufuli ametoa nafasi mpya za ajira 3,000 kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na kusema waliopitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT ) wapewe kipaumbele kwenye ajira hizo.Rais ameyasema hayo...
View ArticleMAREKANI:Zaidi ya watu 50 wameuawa
MAREKANI:Zaidi ya watu 50 wameuawa na takriban 200 wajeruhiwa kwenye ufyatuaji wa risasi wakati wa tamasha la muziki huko Las Vegas,Marekani.Chuma Blog
View ArticleARUSHA: Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Alexander Mnyeti akana tuhuma zilizotolewa...
ARUSHA: Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Alexander Mnyeti akana tuhuma zilizotolewa kupitia picha ya Video na Mbunge Joshua Nassari kuwa aliwarubuni Madiwani 10 wa CHADEMA ili wahamie CCM.Asema video zote...
View ArticleKENYA: Mtu mmoja amefariki dunia katika mji wa Siaya wakati Jeshi la Polisi...
KENYA: Mtu mmoja amefariki dunia katika mji wa Siaya wakati Jeshi la Polisi lilipokuwa likiwatawanya wafuasi wa upinzani wanaoandamana dhidi ya Tume ya Uchaguzi.Mtu huyo alianguka na kufariki wakati...
View ArticleSHINYANGA: Mzee Joseph Sahn(60) afia kwa Mganga wa Kienyeji akipatiwa matibabu
Mzee Joseph Sahn(60) afia kwa Mganga wa Kienyeji akipatiwa matibabu ya kuongeza nguvu za kiume.Yadaiwa Mganga huyo alikuwa akimuwekea dawa ya unga kupitia tundu la uume na kuanza kuisukuma kwa kutumia...
View ArticleMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezifunga ofisi za kampuni ya...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezifunga ofisi za kampuni ya mfanyabiashara Yusufu Manji kutokana na kudaiwa Sh 12.2 bilioni.Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo amesema...
View ArticleRais Magufuli akihutubia Mkutano wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa(ALAT
Rais Magufuli akihutubia Mkutano wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa(ALAT), asema "Ungekuwa Mimi umekuta LiTanzania liko hivi uozo kila kona ungefanyaje?. Ningekuwa Mhehe ningejinyonga ningesema...
View ArticleHappy Birthday Rais Mstaafu wa TAnzanaia Jakaya Mrisho Kikwete
Siku kama ya leo, miaka 67 iliyopita, Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa kijijini Msoga mkoani Pwani.Chuma Blog
View ArticleKIGALI, RWANDA: Mwanasiasa wa upinzani, Diane Rwigara, mama yake na dada yake...
KIGALI, RWANDA: Mwanasiasa wa upinzani, Diane Rwigara, mama yake na dada yake wamefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza wiki mbili baada ya kushikiliwa na polisi.Watatu hao wameshitakiwa kuchochea...
View ArticleMANYARA: Watu saba wamekufa papo hapo na wengine 14 wamejeruhiwa
MANYARA: Watu saba wamekufa papo hapo na wengine 14 wamejeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Noah walilokuwa wakisafiria kutoka kwenye sherehe za kufungandoa katika mji wa Halmashauri ya wilaya ya...
View ArticleZANZIBAR: Askofu Agustino Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa...
ZANZIBAR: Askofu Agustino Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe kwa uwajibikaji na kuwataka watanzania waendelee kumuunga mkono..."Hatutaweza kusema tunaimaliza rushwa wakati...
View Article