MAREKANI: Watu 8 wafariki kwa kupigwa risasi na mtu mmoja ambaye pia ameuawa kwa kupigwa risasi na Askari wa Polisi. .
Watu hao kwa pamoja walikuwa wakiangalia mpira wa miguu katika nyumba moja iliyopo katika eneo la mji mdogo wa Plano huko Dallas. .
Hata hivyo mtu mmoja amelazwa katika hospitali moja akipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa katika shmbulio hilo.