Quantcast
Viewing latest article 12
Browse Latest Browse All 2614

Askofu Gwajima ameshinda kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha

KISUTU, DAR: Askofu Gwajima ameshinda kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha dhidi ya Jamhuri. Hakimu aitaka Jamhuri kumrudishia mkoba wake wenye silaha hiyo.

Akisoma hukumu ya kesi hiyo ya mwaka 2015, Hakimu amesema kutokana na ushahidi uliotelewa na upande wa mshitakiwa akiulinganisha na ule wa upande wa Jamhuri, haoni sababu ya hukumu juu ya Askofu huyo.

Viewing latest article 12
Browse Latest Browse All 2614

Trending Articles