TUMA TUKIO LOLOTE KATIKA MAIL/ salimmore@yahoo.com au WHATSAPP NO: +255712222244
Jack wa Chuzi akiwa wodi namba 2 wa hospital ya Aghakan Morogoro
Baadhi ya watu waliofika kumtembelea Jack aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Typhoid, walihoji juu ya ukaribu wa Rashid ambaye ni kinyozi mjini hapa na staa huyo ndipo paparazi wetu alipowauliza wawili hao kwa nyakati tofauti, kila mmoja akatoa jibu lake
Jack wa Chuzi akiwa wodi namba 2 wa hospital ya Aghakan Morogoro
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Nesi akimuhudumiaClik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Rashid akimuhudumia Jack Wa ChuziClik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
MWIGIZAJI Jacqueline Pentezel ‘Jack wa Chuz’ mwishoni mwa wiki iliyopita alizua utata katika Hospitali ya Aghakani ya mkoani hapa baada ya kunaswa akiuguzwa na kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Rashid Said.Clik here to view.

Baadhi ya watu waliofika kumtembelea Jack aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Typhoid, walihoji juu ya ukaribu wa Rashid ambaye ni kinyozi mjini hapa na staa huyo ndipo paparazi wetu alipowauliza wawili hao kwa nyakati tofauti, kila mmoja akatoa jibu lake
“Huyu ni shemeji yangu kwa bwana angu ambaye baada ya kupata taarifa za mimi kulazwa alifika hapa toka mwanzo na kunihudumia,” alisema Jack huku Rashid akisema
“Jack ni rafiki yangu na kwamba baada ya mimi kupata taarifa za kuugua kwake, nilikuja kumhudumia.”
Jack baada ya kulazwa kwa muda hospitalini hapo, aliruhusiwa na kurejea nyumbani kwake, Dar
Jack baada ya kulazwa kwa muda hospitalini hapo, aliruhusiwa na kurejea nyumbani kwake, Dar