Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Mwanamke Apatikana Hai Kwenye Vifusi Nairobi Siku Sita Baada ya Ghorofa Kuanguka

$
0
0
CHUMA BLOG

Jengo hilo liliporomoka baada ya mvua kubwa kunyesha Ijumaa

Mwanamke amepatikana akiwa hai kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi.

Juhudi za uokoaji bado zinaendelea ingawa kuna wasiwasi kwamba muda wa kupata manusura wakiwa hai unayoyoma.

Mtoto mchanga atolewa kwenye vifusi Nairobi Idadi ya waliofariki kufikia sasa imefikia 33.

Watu 80 kufikia sasa bado hawajulikani walipo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles