Mheshimiwa Rais Wanaodhani Wako Juu ya Sheria ni Wengi Sana
Asante kwa utembelea mtandao huu,Kama una Tangazo,Picha,Habari n.k wasiliana nasi kwa simu/Whatsapp +255 712 222244MIAKA michache iliyopita, wakati wa Serikali ya Awamu ya Nne ambayo imeshapita, kuna...
View ArticleMagazeti ya Leo Ijumaa ya May 6, Ikiwemo ya Mabaki ya Lowassa Yawatesa CCM S
Asante kwa utembelea mtandao huu,Kama una Tangazo,Picha,Habari n.k wasiliana nasi kwa simu/Whatsapp +255 712 222244Chuma Empire
View ArticlePICHA: Jionee kaburi atakalozikwa Papa Wemba
Asante kwa utembelea mtandao huu,Kama una Tangazo,Picha,Habari n.k wasiliana nasi kwa simu/Whatsapp +255 712 222244Picha hii inasemekana ndilo kaburi atakapozikwa mwanamziki Maarufu wa Jamhuri ya...
View ArticleMwanasheria Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni Atumbuliwa
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Boniface Jacob ametangaza kumsimamsha kazi mwanasheria mkuu wa manispaa hiyo, Burton Mahenge na Mthamini wa Manispaa Einhard Chidaga. Uamuzi huo umechukuliwa...
View ArticleMwanaharakati Joyce Kiria Alia Ukata wa Fedha
CHUMA BLOGMtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria. Ameandika kwenye page yake ya Facebook''Dady i miss u 😭. pesa imestaafu na wewe, maisha magumu kweli, siku hizi pesa naiona kwenye...
View ArticleSnura Akubali Yaishe!! Awaomba Radhi Watanzania Kwa CHURA Yake,Atua BASATA na...
CHUMA BLOGMwimbaji wa muziki wa Mduara nchini Snura Mushi ameomba radhi kwa umma wa Watanzania kwa kosa la kutengeneza, kuzindua na kuweka mitandaoni video ya udhalilishaji wa mwanamke na isiyozingatia...
View ArticleMwita Waitara Azusha Tafrani Bungeni.......Ni Baada ya Kutaka Kumchapa Ngumi...
CHUMA BLOGMbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) ametolewa nje ya Bunge baada ya kutaka kumkwida Mbunge wa Kasulu Vijijini, Agustine Holle (CCM) aliyedai kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu...
View ArticleKessy uyooooooo Yanga, kusaini na kukabidhiwa jezi namba 25
CHUMA BLOGKilichobaki kati ya Yanga na beki Hassan Kessy ni kuweka saini kwenye mkataba pekee.Yanga na beki huyo ambaye mkataba wake Simba unakwisha, wamefikia mwafaka baada ya kukubaliana kila kitu na...
View ArticleMwanamke Apatikana Hai Kwenye Vifusi Nairobi Siku Sita Baada ya Ghorofa Kuanguka
CHUMA BLOGJengo hilo liliporomoka baada ya mvua kubwa kunyesha IjumaaMwanamke amepatikana akiwa hai kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi.Juhudi za uokoaji...
View ArticleBalozi Mahiga: Mke wangu hakumtukana askari, walipishana kauli
CHUMA BLOGAmesema mke wake hakumtukana askari aitwaye Deogratias Mbando bali walipishana. "Nilifuatilia suala hili, walitofautiana tu kauli. Mama hakutukana" alisema. Hata hivyo alisema suala hilo...
View ArticleBilioni 6 za Rais Magufuli kununulia madawati zaibua majipu jeshini
CHUMA BLOGShilingi Bilioni 6 zilizotengwa na Rais Dk. John Magufuli kwa ajili ya utengenezaji wa madawati zimeibua majipu katika Jeshi la Magereza na Kujenga Taifa (JKT), kwa kudaiwa kumtapeli...
View ArticleJengo la Ofisi za Kazi Mtaa wa Bibi Titi Dar Lawaka Moto
CHUMA BLOGMoto umezuka jioni hii kwenye Jengo la ofisi za Kazi, Mtaa wa Bibi Titi Mohammed, Jijini Dar es salaam, na habari zilizotufikia magari ya Zimamoto yapo eneo la tukio na juhudi za kuuzima...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumamosi ya Mei 7, Ikiwemo Neno Baby Lilivyochafua Hali ya...
CHUMA BLOGChuma Empire
View ArticleHasira Za Ugomvi Wa Kimapenzi Zamalizikia Kwenye Gari
CHUMA BLOGPicha za gari lililokuwa na ujumbe wa kukasirisha uliochorowa katika gari hilo zimesambazwa mara elfu katika mtandao wa Twitter.Gari hilo jeupe aina ya Range Rover Revere lenye bei ya pauni...
View ArticleMiaka 13 Baada ya Cameroon Kumpoteza Foe,Tena Wamempoteza staa Mwingine Uwanjani
CHUMA BLOGKama ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya soka barani Ulaya huenda utakuwa umekutana na taarifa za kusikitisha kwa taifa la Cameroon, usiku wa May 6 2016 Cameroon na Afrika kwa ujumla ilipata...
View ArticleBaada ya Mbunge wa CCM Kuwadhalilisha ,Wabunge Wanawake wa UKAWA watoka nje...
CHUMA BLOG Wabunge wanawake wa Upinzani wametoka wote nje ya Bunge kwa madai ya kudhalilishwa bungeni na Mbunge wa jimbo la Ulanga Goodluck Mlinga (CCM ) aliyedai jana kuwa viti maalum Ukawa hutolewa...
View ArticleDiamond na Kampuni yake ya Music WCB Yamzawadia Gari Jipya
CHUMA BLOGWCB imemzawadia gari jipya msanii wake, Harmonize.Bosi wake, Diamond, ameandika kwenye Instagram: Kama nikusiivyo siku zote ni juhudi na nidhamu yako ndio itayokufanya upate matunda ya kazi...
View ArticleNina Ugonjwa wa Kuiba Chupi za Wanawake..Nifanyaje Niache?
CHUMA BLOGKila nikilala na mwanamke kama kabeba chupi ya kubadili ile aliyovaa akiivua lazima nifanye manuva mpaka niondoke nayo, alafu nazitumia baadae kuvuta hisia kwenye mambo yetu ya kisabuni..Sasa...
View ArticleRais Mstaafu Jakaya Kikwete Ahudhuria Mazishi ya Lucy Kibaki nchini Kenya.
CHUMA BLOGRais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Jakaya Kikwete amekuwa miongoni mwa viongozi wa ngazi za juu katika ukanda wa Jumuia ya Afrika Mashariki kuhudhuria hafla ya mazishi ya...
View ArticleGadna : Sina Ugomvi na Jide, Nimemkojoza Miaka 15
CHUMA BLOGGadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee."Sina ugomvi na yule mtoto wa kike, nimemkojoza kwa miaka...
View Article