Simba Lazama Mbele ya Timu ya Mwadui Nakuipa Yanga Ubingwa wa Ligi ya Vodacom
CHUMA BLOG Simba imekubali kichapo kitakatifu toka kwa timu ya Mwadui ya Shinyanga inayofundishwa na Kocha wa Zamani wa Simba Julio..Kichapo hicho cha goli moja bila goli lililofungwa na Mchezaji...
View ArticleMama Salama Amtetea Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
CHUMA BLOGSALMA Kikwete, Mke wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete ameonesha kukerwa na wale wanaoshambulia utawala wa mumewe (Rais Kikwete) na kwamba, hakuna sababu ya kufanya hivyo.Mama Salma alisema hayo...
View ArticleRais Magufuli Afungua Jengo la Kitega Uchumi la Mfuko wa Pensheni PPF Jijini...
CHUMA BLOGRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akikata utepe kuzindua rasmi, Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa Pensheni (PPF) lililopo Mtaa wa Korido Jijini Arusha leo Mei...
View ArticleKESSY ATIA DOLEGUMBA YANGA
CHUMA BLOGBeki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy (katikati) akitia dole gumba kwenye fomu za mkataba wa kujiunga na YangaKuna msemo wa Kiswahili unasema ‘ukisusa wenzio wala’, msemo huu...
View ArticleLowassa: Bado Nipo Nanyi Kuwaletea Maendeleo
CHUMA BLOGWaziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amewahakikishia wananchi wa Monduli kuwa bado yupo nao katika kuwaletea maendeleo. Lowassa ambaye alikuwa mbunge wa Jimbo la Monduli karibu miongo miwili...
View ArticleTani 622 za Sukari Zakamatwa Morogoro, RC Dodoma Aagiza Tani 154 Ziuzwe Kwa...
CHUMA BLOG\Suala la uhaba bandia wa sukari limeendelea kuitikisa nchi, lakini vyombo vya ulinzi na usalama vikifanya kazi nzuri baada ya kuwatia nguvuni wafanyabiashara wengine, waliohodhi bidhaa hiyo...
View ArticleKUTOKA BUNGENI:Mussa Azzan Zungu Achaguliwa Kuwa Tena Mwenyekiti wa Bunge la...
CHUMA BLOGKUTOKA BUNGENI: Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan Zungu amechaguliwa leo kuwa tena Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Akitoa neno la shukrani Zungu amesema nafasi hiyo...
View ArticleHalmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Yavunja Mkataba Na UDA
CHUMA BLOGHatimaye uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, umevunja mkataba wa uwekezaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) na Kampuni ya Simon Group Limited inayomilikiwa na...
View ArticleExclusive! Lady Jaydee Kumuanika Mpenzi wake wa sasa
CHUMA BLOGExclusive! Lejendari wa Bongo Fleva kwa zaidi ya miaka kumi na tano, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee au Jide’, anatarajia kumuanika mrithi wa aliyekuwa mumewe, Mtangazaji wa Kituo cha Radio...
View ArticleSakata la Mauaji Msikitini Mwanza: Kundi la Kigaidi la ISIS lahusishwa
CHUMA BLOGYADAIWA ni kisasi baada ya Polisi kuwakamata wanaharakati wa IS saa 24 kabla."baada ya swala kumalizika, watu hao waliingia na kuwaamuru kulala chini huku wakitoa bendera nyeusi na maandishi...
View ArticleSerikali Yajibu Hoja za Kivuko cha MV Dar es Salaam na Uuzwaji wa Nyumba Zake
CHUMA BLOGSerikali imejibu hoja za upinzani kuhusu uuzwaji wa nyumba za Serikali na kutetea ununuzi wa kivuko cha MV Dar es Salaam ambacho kilitakiwa kufanya safari zake kati ya Dar na Bagamoyo.Hoja...
View ArticleHuyu hapa Mfanyabiashara aliye Tumbulia Na Rais Magufuli Aliyekuwa Akiiba...
CHUMA BLOGRAIS Dk. John Magufuli amemtumbua mfanyabiashara mmoja maarufu Dar es Salaam, aliyebainika kufanya miamala ya fedha ya Sh milioni saba hadi nane kwa kila baada ya dakika moja. Kutokana na...
View ArticleMajambazi Watatu Wauawa Huko Tanga
CHUMA BLOGPOLISI mkoani Tanga imewaua watu watatu katika mapigano ya risasi wanaodaiwa kuhusika katika mauaji ya watu jijini humo wakiwamo watu wanane waliochinjwa katika Kitongoji cha Kibatini, Kata...
View ArticleCHADEMA yaipigia Magoti ACT Wazalendo
CHUMA BLOGMBOWE :-CHADEMA TUTAUNGANISHA NGUVU NA ACT WAZALENDO KUPINGA UDIKTETA.Waswahili walisema usitukane Mamba ujavuka mto, msema huo waelekea kutimia kwa Freeman Mbowe na cdm yake kufuatia...
View ArticleRC. Makonda kujenga makao makuu ya BAKWATA kwa bilioni 5 na milioni 80
CHUMA BLOGMakonda kujenga makao makuu ya bakwata kwa bilioni 5 na milioni 80 , akabidhi ramani ya jengo leo, ujenzi kukamilika mwaka huuLeo mkuu wa mkoa wa dar mh.Paul makonda amekabidhi ramani ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA NA VIONGOZI MBALI MBALI WATOA HESHIMA ZA MWISHO...
CHUMA BLOG Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Aboud Jumbe likiwasili nyumbani kwa marehemu Migombani, Zanzibar Watoto, Ndugu, jamaa na Viongozi mbali mbali wakipokea mwili wa Marehemu Mzee Aboud Jumbe...
View ArticleKauli Ya Manji Baada Ya Taarifa Kwamba Amejitoa Yanga
CHUMA BLOGMwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji (kushoto).Baada ya taarifa kwamba Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amejiuzulu uenyekiti kuzagaa, SALEHJEMBE ilifanya kila juhudi kumpata na mwenye akazungumza...
View ArticleNaibu Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla afanya ukaguzi wa kushtukiza kituo cha...
CHUMA BLOGNaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh.Dk. Hamisi Kigwangalla muda huu amefanya ziara ya kushtukiza katika Taasisi ya kijamii inayojishughulisha na masuala ya...
View ArticleRais Edgar Lungu Ashinda Uchaguzi Zambia
CHUMA BLOG Rais Edgar Lungu.RAIS Edgar Lungu ametangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa urais nchini Zambia kwa kupata asilimia 50.35 ya kura na kumshinda mpinzani wake, Hakainde Hichilema aliyepata...
View ArticleMagazeti ya Tanzania,Kenya na UK Leo Jumanne,Agosti 16,2016
CHUMA BLOG TANZANIA KENYA UKChuma Empire
View Article