Eneo la Ikulu Lauzwa Kinyemela
CHUMA BLOGENEO lililokuwa limetengwa ili ijengwe Ikulu ndogo ya Mkoa wa Mbeya limemegwa na kuuzwa. Limeuzwa kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni maofisa wa ardhi Jiji la Mbeya, kutumia fursa ya eneo...
View ArticleMashabiki wa Yanga Waibuka Ofisi za Makao ya Klabu Hiyo Baada ya Yusuph Manji...
CHUMA BLOGYusuph Manji Mashabiki wa Yanga wakiw katika ofisi za makao makuu ya klabu ya Yanga baada ya kupata taarifa za kujiuzulu kwa Manji Habari zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii ni kwamba...
View ArticleMakonda Kuwajengea BAKWATA Ofisi ya Kisasa
CHUMA BLOGMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi ramani ya jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), ikiwa ni ahadi ya kuwajengea jengo...
View ArticleWema Sepetu Kuwataja Wanaume Anaowafagilia Akiwemo Diamond Huku Idriss Akiwa...
CHUMA BLOGHii ndio picha aliyoweka Wema Sepetu Kwenye page yake Kama MCM, ikiwa na maana ya Man Crash Monday...Mashabiki wake wengi walihoji kwanini Diamond yupo kwenye list na huku mpenzi wake wa sasa...
View ArticleSeif Shariff Hamadi agoma kumpa mkono wa salamu Rais Dkt. Shein!
CHUMA BLOG Katika kipindi cha magazetini Leo, imeripotiwa kuwa Maalimu Seif alikwepa kusalimiana Dkt Shein walipokutana kwenye maziko ya Aboud Jumbe.Hii inapeleka ujumbe gani kwa wana-Zanzibar?! Chuma...
View ArticleRAIS MAGUFULI AWATEMBELEA NA KUWAJULIA HALI MZEE MALECELA NA MHE. NDUGAI
CHUMA BLOG Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana kwa furaha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili nyumbani kwake...
View ArticleKundi la Original Comedy Matatani Kwa Kuvaa Sare za Jeshi la Polisi Kwenye...
CHUMA BLOGkatika siku za hivi karibuni, kumejitokeza tabia kwa baadhi ya watu wakiwemo wasanii watu wengine mmoja mmoja kutumia mavazi yanayofanana na sare za Majeshi ya Ulinzi na usalama hapa nchini...
View ArticleMchungaji wa Kanisa Aua Muumini Wake
CHUMA BLOGMchungaji mmoja nchini Afrika ya kusini kwa jina la Lethebo Rabalango wa kanisa la Mount Zion General Assembly amemua muumini wake ambaye ni mwanamke kwa kumwekea spika nzito juu yake kwa...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatano Agosti 17,2016 Tanzania,Kenya Na UK
CHUMA BLOGTANZANIAKENYAUKChuma Empire
View ArticleHarmonize: Nivae dela ndio mseme simkopi Diamond
CHUMA BLOGShutuma kuwa amekuwa akimuiga bosi wake Diamond, zimemchosha Harmonize na sasa ameamua kujibu.Baada ya video ya wimbo Inde alioshirikishwa na Dully Sykes kutoka, mashabiki ndio wamezidi...
View ArticleSerikali Yasitisha Kutoa za Field Kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu ili kuhakiki...
CHUMA BLOGWaziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof Joyce Ndalichako amesema wizara hiyo imelazimika kusitisha malipo ya fedha za mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa muda...
View ArticleMzee Yussuf Ataendelea Kusikika Japo Anasema Amestaafu Muziki - Khadija Yusuf
CHUMA BLOGZikiwa zimepita siku kadhaa tangu Mzee Yussuf kutangaza kuacha rasmi kazi ya muziki na kumrudia Mungu, mdogo wa mzee Yussuf, Khadja Yussuf ambaye ni muimbaji katika bendi ya Jahazi Modern...
View ArticleMasanja akitoa adhabu kwa wanaochelewa kuoa, kaanza na MC pilipili
CHUMA BLOGMchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ambae August 14 2016 alifunga ndoa na mchumba wake aitwae Monica ameifanya hiki kichekesho kifupi...
View ArticleDk. Tulia afunguka, asema Ukawa walimtukana tusi kubwa
CHUMA BLOGSIKU mbili baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kuahidi kufanyika maridhiano kati ya uongozi wa Bunge na wabunge wa upinzani katika kikao kijacho kinachotarajiwa kuanza Septemba 6, mwaka huu,...
View Article‘Bunyadi’ mgahawa maarufu jijini London ambao wateja wake hula vyakula wakiwa...
CHUMA BLOGKatika hali isiyokuwa ya kawaida mgahawa mmoja jijini London Uingereza umechukua chati ya aina yake kwakuwa na huduma ya kipekee ambapo wateja wake hula vyakula mbalimbali wakiwa...
View ArticleNSSF Yaburuzwa Mahakamani
CHUMA BLOGSHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limeburuzwa mahakamani na wakazi 87 waliokopeshwa nyumba za mradi wa shirika zilizoko Kijichi jijini Dar es Salaam, wakiiomba lisiwabugudhi hadi...
View ArticleAliyekuwa Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Wenzake 8 Wafikishwa...
CHUMA BLOGMkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa-NIDA- Dickson Maimu (wa tatu kushoto) na viongozi wengine nane wa taasisi hiyo wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mapema...
View ArticleRais Magufuli Akutana Na Kufanya Mazungumzo Na Kiongozi Mkuu Wa Madhehebu Ya...
CHUMA BLOGRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Agosti, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohra Duniani Mtukufu Dkt....
View ArticleTimu ya Simba Sasa Kuendeshwa Kwa Hisa..Mo Dewji Akabithiwa Timu
CHUMA BLOGKamati ya Utendaji ya Simba na mfanyabiashara, Mo Dewji leo wafikia makubaliano ya kuendesha Klabu ya Simba kwa mfumo wa hisa.Hisa zitauzwa kwa wanachama wapya kwa taratibu mahususi,...
View Article