CHUMA BLOG
Makonda kujenga makao makuu ya bakwata kwa bilioni 5 na milioni 80 , akabidhi ramani ya jengo leo, ujenzi kukamilika mwaka huu
Leo mkuu wa mkoa wa dar mh.Paul makonda amekabidhi ramani ya jengo la makao makuu bakwata analotegemea kujenga mwaka huu. Ni jengo lenye thamani ya bilioni 5 na milioni 80.
Heko makonda, uongozi unaoacha alama.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akifanya mazungumzo na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salim katika hafla ya kukabidhi ramani ya ujenzi wa jengo jipya la BAKWATA.