CHUMA BLOG
Simba imekubali kichapo kitakatifu toka kwa timu ya Mwadui ya Shinyanga inayofundishwa na Kocha wa Zamani wa Simba Julio..Kichapo hicho cha goli moja bila goli lililofungwa na Mchezaji Jamal Mnyate Dakika ya 73 linaifanya Yanga Kutangazwa Mabigwa wa ligi ya Vodacom kwa vile hakuna timu inayoweza kufikisha point alizonazo Yanga....
