CHUMA BLOG
![]()
Hainaga ushemeji, tunakulaga! Usemi huo umedhihirika kwa mwanadada anayekuja kwa kasi katika ulimwengu wa mastaa Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ baada ya kutoboa siri ya kuwapa penzi msanii wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’ na mdogo wake Abdu Kiba.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Gigy alisema katika maisha ya kimapenzi, amewahi kutoka na wanaume wengi akiwemo Kiba na mdogo wake, lakini hiyo ilitokana na kuvutiwa nao wote wawili.
“Nilianza kuwa na uhusiano na Kiba ambapo tukiwa kwenye mapenzi hayo nikavutiwa na mdogo wake, nikajikuta nikitoka naye na kwa kweli niliinjoi sana kuwa nao.
Sikuona shida yoyote kumpa penzi mtu na mdogo wake kwa sababu katika maisha ya kila siku, tunajaribu, ili kupata vitu tofauti,” alisema Gigy Money.
Katika hali ya kushangaza, msichana huyo anayeshangaza wengi kutokana na tabia yake, alisema baada ya kutoka na mastaa wengi, katika rada zake hivi sasa yumo rapa mkali, Chid Benz kwani ana ‘mahaba’ naye.
Hivi karibuni Gigy Money alizungumza katika kituo kimoja cha televisheni maarufu jijini Dar na kuwataja baadhi ya wanaume aliowahi kutoka nao kimapenzi kuwa ni Kiba, Abdu Kiba, Hemed Suleiman ‘PHD’, Rich Mavoko na wengine kibao