Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Malkia wa Taarabu Shakila Saidi Afariki Dunia Jana Jioni

$
0
0
CHUMA BLOG

Habari za kusikitisha zimetufikia muda huu kuwa malkia wa Tarabu nchini Bi. Shakila Saidi amefariki dunia jioni ya leo muda mfupi baada ya kuanguka na kukimbizwa hospitali ya karibu na nyumbani kwake Mbagala Charambe jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika vilivyo karibu na marehemu, Bi Shakila hakuwa anaumwa ila alianguka ghafla na alipofikishwa hospitali akakata roho

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles