Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Browsing all 2614 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA (VPL) , UINGEREZA (EPL),ITALIA (SERIE A) NA...

CHUMA BLOGLigi Kuu ya Tanzania Mechi zitakuwa 5 ambazo ni kama zinavyoonekana hapa chini.Mechi za Tanzania nyingi zitaanza kati ya saa kumi mpaka saa kumi na nusu kasoro mechi ya Azam na African Lyon...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali Yaua 1 Maeneo ya Mlimani City Dar

CHUMA BLOGMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitokea ajali mbaya ya gari ndogo ambayo haikuweza kufahamika kwa haraka kutokana na kugongwa na lori lililovuka na kuingia hadi kituo cha mafuta...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kesi ya CHADEMA Kutaka Maandamano na Mikutano yatupwa

CHUMA BLOGHATIMAYE Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam, imelikataa ombi la kuiomba Mahakama hiyo iwapatie Kibali cha Kufungua mahakamani hapo ombi la kuomba Mahakama hiyo iifute amri /uamuzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Akanusha Kurudiana na Diamond, Awasifia Zari na Tiffah

CHUMA BLOGWema, Diamond na ZariMambo mengi yametokea wiki hii kuanzia Wema Sepetu kuachana na mpenzi wake Idris Sultan hadi Miss Tanzania huyo wa mwaka 2016 kuhudhuria birthday party ya binamu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Malkia wa Taarabu Shakila Saidi Afariki Dunia Jana Jioni

CHUMA BLOGHabari za kusikitisha zimetufikia muda huu kuwa malkia wa Tarabu nchini Bi. Shakila Saidi amefariki dunia jioni ya leo muda mfupi baada ya kuanguka na kukimbizwa hospitali ya karibu na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Ndani na Nje ya Tanzania Leo Jumapili Agosti 21,2016

CHUMA BLOG TANZANIA KENYAChuma Empire

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ethiopia Hutumia Mlima K'njaro Kujinadi kwa Utalii

CHUMA BLOGWakuu week jana nilisafiri na ET805 kutoka KIA kupitia Mombasa then BOLE International Airport pale Adis Abbaba,nikiwa na safari yangu kwenda ughaibuni.Nikiwa BOLE nikisubiri connection ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais, atoa onyo kwa watendaji waochochea uharibifu wa mazingira

CHUMA BLOGMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mkutano wa kazi na watendaji wa ofisi yake ya Idara ya Mazingira kujadili kwa kina namna ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ghala la Kampuni ya Boss Shopping Centre lateketea kwa moto jijini Dar

CHUMA BLOG Askari wa Kikosi cha Uokoaji cha Zimamoto wakizima moto uliokuwa ukiteketeza ghala la Kampuni ya Boss Shopping Centre Ltd zilimo kuwa zikihifadhiwa bidhaa mbalimbali eneo la Viwanda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Jeshi la Polisi Likifanya Mazoezi ya Utayari wa Kukabiliana na Uhalifu...

CHUMA BLOGAskari wa kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha viungo kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia. Askari Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uzinduzi rasmi wa msimu wa Tigo Fiesta 2016 jijini Mwanza

CHUMA BLOGWaziri wa habari, utamaduni na michezo, Mhe. Nape Mnauye akiongea na wakazi wa mkoa wa Mwanza wakati wa uzinduzi wa msimu wa Tigo Fiesta 2016 kwenye viwanja vya Furahisha jana.  Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) katika tamasha la Tigo Fiesta 2016

CHUMA BLOGMsanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza jana,wakati wa mkutano kabla ya tamasha la Fiesta,kulia ni Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BI SHAKILA MBAGALA CHARAMBE JIJINI DAR.

CHUMA BLOGs Mstaafu awamu ya nne,Dkt Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Bi Shakila Said,wakati wa maziko huko nyumbani kwake Mbagala Charambe,jijini Dar .Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Ndani na Nje ya Tanzania Leo Jumatatu, Agosti 22,2016

CHUMA BLOGTanzaniaKenyaUKChuma Empire

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lipumba Aipasua CUF, Wajumbe Warushiana Viti na Kutukanana, Mkutano Wavunjika

Prof. Lipumba akiwa ukumbiniMkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Wananchi (CUF), uliofanyika jana jijini Dar es Salaam ukilenga kuwachagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ulivunjika baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakili Atolea Ufafanuzi Madai ya Reginald Mengi Kuitwa Mahakamani Kujieleza...

CHUMA BLOGWakili Atolea Ufafanuzi Madai ya Reginald Mengi Kuitwa Mahakamani Kujieleza Kwa Nini Asifungwe Chuma Empire

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Obama: Kama Trump Atashinda Urais, Nitaihama Marekani

CHUMA BLOGRais Barack ObamaMarekaniRais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa iwapo mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump atashinda katika uchaguzi ujao wa rais wa nchi hiyo yeye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sea Food Bonanza

CHUMA BLOGChuma Empire

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumatano Agosti 24,2016

CHUMA BLOGChuma Empire

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askari Polisi Wanne Wauawa Jijini Dar es salaam

CHUMA BLOGHabari zilizotawala katika mitandao ya kijamii usiku wa Agosti 23, 2016 ni kuhusu kuuawa kwa askari polisi wanne kufuatia tukio la uporaji lililotokea katika bank ya CRDB tawi la Mbande,...

View Article
Browsing all 2614 articles
Browse latest View live