Picha / Waziri wa Mambo ya Ndani Akiwa Eneo Walipouawa Askari Polisi Wanne Dar
CHUMA BLOGMasaa machache baada ya kutokea tukio la askari polisi kuuawa jijini Dar es salaam usiku wa Agosti 23,2016,waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba alifika eneo la tukio. ASKARI polisi wanne...
View ArticleOparesheni UKUTA: Msajili wa Vyama Aitisha Mazungumzo ya Siku Mbili Kwa Vyama...
CHUMA BLOGMSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, ameitisha Baraza la Vyama vya Siasa ili kunusuru mvutano uliojitokeza kati ya Jeshi la Polisi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleUBUYU / SHILOLE AKIRI KUTOKA MOYONI KUMPENDA WIZKID
CHUMA BLOGÂ Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed Yusuf a.k.a Shilole au Shishi Baby, amekiri kupendana na staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun âWizkidâ.Kauli ya Shilole inakuja...
View ArticleMLIESEMA MASONGANGE KACHOKA ..?? BASI NIMEKUWEKEA PICHA ZAKE MPYA
CHUMA BLOGKama ulimiss kumuona Agness masogange ambaye ni video vixen wa hapa Bongo basi nimekuwekea picha zake upate kumuona tena akiwa katika pozi mbalimbali.Agness ambaye kwa sasa ametulia sana...
View ArticleMke wa bilionea Msuya kortini Kwa Mauaji ya Wifi Yake
CHUMA BLOGMKE wa bilionea Erasto Msuya, Miriam Elisaria Msuya (41) amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya dada wa wa bilionea huyo, Aneth Msuya.Mshtakiwa huyo alifikishwa katika Mahakama ya...
View ArticleKingunge Ngombale Mwiru Avunja Ukimya.......Amtaka Mkapa na Ali Hassan Mwinyi...
CHUMA BLOGAliyekuwa kada wa CCM, Kingunge Ngombale Mwiru amewaomba marais wastaafu, Rais Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa kuzungumza na Rais John Magufuli ili aitishe kikao kati ya Serikali na...
View ArticleMwanafunzi Afukuzwa Shule Kwa Ushirikina
CHUMA BLOGUONGOZI wa Shule ya Sekondari Mwatisi Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, umemfukuza mwanafunzi mmoja (jina tunalo) kwa madai ya ushirikina.Mwanafunzi huyo anadaiwa kuhusika na kitendo cha baadhi...
View ArticleRAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA
CHUMA BLOGChuma Empire
View ArticleDiamond Platnumz has welcomed Wizkid at his house, and See this unidentified...
CHUMA BLOGHaipiti wiki bila Diamond kuwatoa povu mashabiki, hata kama alichokifanya si kwamba alidhamiria.Jumanne hii hitmaker huyo wa âKidogoâ alipost video akiwa na starboy, Wizkid. Haijulikani...
View ArticleUKATILI / FUNDI ANASWA KWA ULAWITI WATOTO 2 WA KIUME MOROGORO
CHUMA BLOG Kijana Alhaji Hussein Kulia akiwa chini ya Ulinzi. Wazazi wa watoto hao wakipanda kwenye Difenda KIJANA Alhaji Hussein[27]ambaye ni Fundi wa Magari Mjini hapa amenaswa na Polisi akidaiwa...
View ArticleWema Sepetu Tells Of How Diamond Platinumz Got Zari Hassan And Whetehr She...
CHUMA BLOGZari Hassan and the Wema Sepetu have had a long standing rivalry that seemed destined to last ages.However, it did come to an end recently and suddenly Wema and Diamond seemed a bit too close...
View ArticlePICHA / Maisha ndani ya jela lenye msongamano zaidi nchini ?
CHUMA BLOGKatika hali isiyo ya kawaida ndani ya mji wa Quezon karibu na kituo kidogo cha polisi nchini Ufilipino ndipo lilipo gereza la Quezon ambalo linatajwa kuwa na wafungwa wengi kuliko magereza...
View ArticleLULU MAHAKAMANI ,KESI YAKE KUANZA KUNGURUMA TENA
CHUMA BLOGILE kesi ya kumuua bila kukusudia mwigizaji Steven Kanumba inayomkabili mwigizaji wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael âLuluâ inatarajiwa kuanza kusikilizwa kesho, Agosti 26 mwaka huu...
View ArticleZitto Kabwe afunguka yake kuhusu Oparesheni UKUTA
CHUMA BLOGWakati viongozi wa dini wakiendelea na jitihanda za kusaka suluhu kati ya upande wa Serikali na Chadema kuhusu namna ya kuzuia kwa amani kufanyika kwa Operesheni ya chama hicho iliyopewa jina...
View ArticleMIILI YA ASKARI WALIOUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI YAAGWA DAR ILI...
CHUMA BLOG Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa kuaga miili ya askari waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na majambazi .Ibada hiyo ya...
View ArticleMAONI / Hivi Steve Nyerere bado tunamuita Msanii?
CHUMA BLOGSteve Mangere, siku za nyuma tulizoea kumwona katika majukwaa akimwigiza sauti hayati Baba wa Taifa, kutokana na hilo akaanza kujiita Steve 'Nyerere', hivi siku hizi anafanya nini, hivi na...
View ArticleNews Alert / Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi
CHUMA BLOGHabari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Askari Polisi walivamia nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema alfajiri ya leo na kumkamata.Hivi sasa yupo central police ya...
View ArticleRC Makonda: Polisi Mkikuta Mtu Yeyote Msituni Pigeni bila Huruma.......Haki...
CHUMA BLOGMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameliagiza Jeshi la Polisi kuwagonga na kuwapiga wahalifu wowote wakiwamo majambazi pindi wanapowakamata. Akizungumza wakati wa kuaga miili ya...
View Article