Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

News Alert / Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

$
0
0
CHUMA BLOG
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini, Godbless Lema

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Askari Polisi walivamia nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema alfajiri ya leo na kumkamata.
Hivi sasa yupo central police ya Arusha.
Sababu za kukamatwa kwake haijajulikana bado....

Tutawajuza kila kitakachokuwa kinajiri 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles