CHUMA BLOG
![]()
Ligi Kuu ya Tanzania Mechi zitakuwa 5 ambazo ni kama zinavyoonekana hapa chini.
Mechi za Tanzania nyingi zitaanza kati ya saa kumi mpaka saa kumi na nusu kasoro mechi ya Azam na African Lyon ambayo itaanza saa moja usiku

- Simba Vs Ndanda Fc
- Maji Maji vs Prisons
- Stand United vs Mbao Fc
- Mtibwa Sugar Vs Ruvu Shooting
- Azam Fc vs African Lyon
EPL,LA LIGA, SERIE A Muda wa kuanza mechi hizo pia uko hapa