CHUMA BLOG
![]() |
Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza jana,wakati wa mkutano kabla ya tamasha la Fiesta,kulia ni Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja. |
Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta Sebastian Maganga,akizungumza jijini Mwanza leo,kushoto ni Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) na Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja. |