Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Prof. Lipumba uvuliwa uanachama CUF

$
0
0
CHUMA BLOG

Habari tulizozipata usiku huu ni kwamba Profesa Ibrahim Haruna Lipumba na wafuasi wake 10 wametimuliwa rasmi uanachama wa Chama Cha Wananchi (CUF) huku wengine wakipewa onyo kali.


Inaelezwa kuwa hayo ni maamuzi ya baraza kuu lililoketi leo huko Zanzbar.

Taarifa zaidi zinasema kuwa wabunge Magreth Sakaya na mbunge wa Mtwara mjini nao wanadaiwa kuvuliwa uanachama.

Abdul Kambaya (Mkurugenzi wa Habari) naye anadaiwa kuvuliwa uanachama.

Kwa taarifa zaidi fuatilia press conference ya chama hicho kesho saa 5 asubuhi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles