Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

NYANYA MORO HAZINA SOKO KISADO KIMOJA SHILINGI MIA 8'

$
0
0
CHUMA BLOG
 Licha ya Kisado kimoja kuuzwa shilingi mia 7 bado wateja hakuna kama inavyoonekana Pichana Mkulima huyo akiwa peke yake na lundo la Nyanya hizo.

 Hapa kachumbali imekamilika Vitunguu,Nyanya na Pili pili hoho na pembeni kebichi


KUFUATIA wingi wa nyanya zinazolimwa kwa wingi Kijiji cha Mlali Wilaya ya Mvomero Mkoani hapa  kuwa nyingi Sokoni baadhi ya Wakulima wa zao hilo linalooza baada ya muda mfupi wameamua kukodi Vibabaji na vigari vidogo aina ya Kilikuu  na kuwafuata wateja mtaa na kulazimaia kuwauza wateja hao nyanya hizo kwa bei ya kutupwa ambapo kisado kimoja huuzwa kati ya elfu moja mpaka mia 7 huku tenga moja likiuzwa katia ya elfu 15 mpaka elfu 10.

Mbali na hilo pia mteja hupewa ruhusa ya kuchagua mwenyewe nyanya anazopenda na kuzijaza kwenye Kisado hicho sambamba na kupewa mfuko bure.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles