Diamond Platnumz Anunua Rolls Royce ya $400,000 na zaidi?
CHUMA BLOGHuenda Diamond Platnumz akawa ameitimiza ndoto aliyokuwa nayo kwa miaka mingi – kumiliki gari alipendalo zaidi, Rolls Royce.Kwa muda mrefu, staa huyo amekuwa akisema kuwa hilo ndilo gari...
View ArticleMwanafunzi wa Kidato cha nne Amteka Mtoto wa Miaka 3
CHUMA BLOGMwanafunzi wa kidato cha nne alimteka nyara mtoto wa miaka mitatu baada ya kumpa dawa za kulevya.Mwanafunzi wa kidato cha nne kutoka shule ya upili ya Maralal kaunti ya Samburu alisemekana...
View ArticleNYANYA MORO HAZINA SOKO KISADO KIMOJA SHILINGI MIA 8'
CHUMA BLOG Licha ya Kisado kimoja kuuzwa shilingi mia 7 bado wateja hakuna kama inavyoonekana Pichana Mkulima huyo akiwa peke yake na lundo la Nyanya hizo. Hapa kachumbali imekamilika Vitunguu,Nyanya...
View ArticleRais Magufuli Apongezwa Kwa Kupambana na Rushwa na Kujenga Mazingira Bora...
CHUMA BLOGRais John Pombe MagufuliMwenyekiti wa Taasisi inayoshughulikia masuala ya Afrika (Africa Matters Limited) Mhe. (Baroness) Lynda Chalker wa Wallasey - Uingereza, amempongeza Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleKokeini yenye thamani ya Euro milioni €50 imepatikana katika kiwanda cha...
CHUMA BLOGWafanyakazi wa kiwanda cha Coca-Cola wamekataa kuhusishwa kama wachunguzi wa chanzo cha mihadarati hiyo Kokeini yenye thamani ya bei ya mtaani kiasi cha Euro 50 m imegundulika katika kiwanda...
View ArticleWatu Zaidi ya 20 Mbaroni Oparesheni ya Kusaka Majambazi Vikindu
CHUMA BLOGJeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limewakamata zaidi ya watu 20 ambao kati yao wanahusishwa na tukio la mauaji ya askari polisi 4 lililotokea siku za hivi karibuni...
View ArticleBaada ya Ali Bongo Kutangazwa Mshindi, Majengo ya Bunge Yateketezwa
CHUMA BLOGFujo zimezuka katika Mji Mkuu wa Gabon, Libreville baada ya Rais Ali Bongo kutangazwa jana Jumatano mchana kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumamosi iliyopita, Agosti 27, 2016,...
View ArticleDeni Analodaiwe mh Mbowe na NHC Madalali Wavamia Ofisi za Tanzania Daima na...
CHUMA BLOGTaarifa zilizonifikia hivi punde ni kuwa Tanzania Daima wako kwenye crisis kubwa kwasababu watu wanaodaiwa kuwa ni Madalali wa shirika la nyumba la Taifa la NHC wamefika ofisini kwao asubuhi...
View ArticleKutoka Rujewa Katika Kupatwa kwa Jua
CHUMA BLOGLEO Septemba Mosi, watalii na wanaanga kutoka mataifa mbalimbali duniani wakiwemo wanafunzi wa shule wameungana kushuhudia tukio kubwa na la kihistoria la kupatwa kwa jua katika Kata ya...
View ArticleIshu ya Uenyekiti wa Lipumba CUF, Msajili Amuweka Kikaangozi Maalim Seif
CHUMA BLOGOfisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini imemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kufuatia mvutano wa kusimamishwa uanachama aliyekuwa Mwenyekiti...
View ArticleHii ndio ndege ya ATCL iliyokamilika, tayari kwa kuja Tanzania
CHUMA BLOGHii ndio moja ya ndege mpya ya Air Tanzania iliyo tayari kwa kila kitu.Hapa ipo kwenye Hangar(eneo la matengenezo ya ndege) nchini Canada tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania.Wakati...
View ArticleUp Date / Rujewa Mbarali Mbeya 2016 Tanzania kupatwa kwa jua
CHUMA BLOGSee people are watching solar eclipse in Mbeya Tanzania with special instrument.Photos of Solar Eclipse 2016 TanzaniaAn annular solar eclipse in Tanzania occurs when the Moon moves in front...
View ArticleTaarifa ya Tanesco Kuhusu Kukatika Kwa Umeme Kwa Siku Nane
CHUMA BLOGTaarifa ya Tanesco Kuhusu Kukatika Kwa Umeme Kwa Siku Nane Chuma Empire
View ArticleRais Magufuli Awapongeza JWTZ Kwa Kutimiza Miaka 52
CHUMA BLOGSerikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuwaunga mkono na kuwatumia wahandisi wa ndani wenye ujuzi mbalimbali katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa viwanda, reli, barabara...
View ArticleOktoba Mosi Yaanza Kugombaniwa.......Makonda Aitangaza Kuwa Siku Ya Kupanda...
CHUMA BLOG\Siku moja baada ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kuahirisha kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kupitia oparesheni walioipa jina la UKUTA ( Septemba Mosi) na...
View ArticleRAIS MAGUFULI ATAWATANGAZIA VITA WATU WALIOFICHA FEDHA MAJUMBANI
CHUMA BLOGRais John Magufuli amewataka watu walioficha fedha majumbani kuziachia ziingie kwenye mzunguko vinginevyo anaweza kuamua kuzibadili ili wakose mahali pa kuzipeleka. Amesema watu hao wamekuwa...
View ArticleDJ Fetty kurejea Clouds, na hiki ndicho kipindi atakachofanya
CHUMA BLOGIlikuwa ni siku ya Jumanne ya September 15 mwaka wa 2015 ndio siku ambayo nyoyo za wapenzi wa burudani na hasa wale wapenda kusikiliza vituo vya redio ziliingiwa na huzuni flani hivi baada ya...
View ArticlePolisi wafyatua risasi na mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Prof....
CHUMA BLOGJeshi la Polisi limelazimika kufyatua risasi angani na kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa mwenyekiti wa...
View ArticleKijana Shoga Adai Wana Mahusiano na Mwanamuziki Raymond wa wasafi
CHUMA BLOGLeo katika kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na post za kijana wa kiume ambazo zinamuhusu msanii Raymond wa wasafi,post za kijana huyo ni tata kiasi kwamba nilishindwa kufahamu...
View Article