Mtandao hatari wa Majambazi Wanaswa
CHUMA BLOGWatu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wanadaiwa kukamatwa na polisi wakiwa na zana mbalimbali ambazo hutumiwa na vyombo vya ulinzi zikiwamo silaha za vita na sare za polisi.Vitu hivyo...
View ArticleLICHA ya Kufungwa Gavana wa Nigeria Awazawadia Taifa Stars Milion 21
CHUMA BLOGLicha ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Nigeria, Taifa Stars wamevuna kitita cha dola 10,000 kutoka kwa Gavana wa jimbo la Akwa Ibom State, Udom ambapo ndipo unapopatikana Uwanja wa Uyo...
View ArticleGari Lateketea Kwa Moto Na Dereva Akiwa Ndani Bila Dereva kujua Tukio Hilo...
CHUMA BLOGGari aina ya Suzuki 'Kilikuu' lenye namba za Usajiri T 609 CKW Muda huu linaendelea kuteketea kwa Moto eneo la Masika katikati ya Mji wa Morogoro.Mashuhuda wa tukio hilo " Huyu dereva wa...
View ArticleWatoto wa mitaani Dodoma kuondolewa
CHUMA BLOGSERIKALI mkoani Dodoma itafanya operesheni ya kuwaondoa watoto wa mitaani, ambao wamekuwa kero kwa wapita njia na wateja wanaokula hotelini, ambao huwanyang’anya chakula na hata vinywaji...
View ArticleFIFA YATANGAZA ORODHA YA MATAIFA BORA KATIKA MCHEZO WA SOKA
CHUMA BLOG Shirikisho la soka duniani FIFA limetangaza orodha ya mataifa bora duniani katika mchezo wa soka kwa mwezi uliopita wa Julai.Duniani, timu ya taifa ya Argentina inaendelea kuongoza ikifuatwa...
View ArticleWAZIRI WA TAMISEMI SULEIMAN JAFO ALIVYONUSURIKA KIFO AJALINI MBEYA
CHUMA BLOGNaibu Waziri wa Tamisemi, Suleiman Jafo jana amepata ajali eneo la Katela Kata ya Kiwira, Wilaya ya Rungwe Mbeya. Ajali hiyo imehusisha gari dogo aina ta Corola iliyokuwa ikotokea Mbeya...
View ArticleMAJAMBAZI WAUA MAJAMBAZI WENZAO WATATU VIKINDU,POLISI WAKAMATA ZAIDI YA 7
CHUMA BLOGWATU watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wa kutumia silaha, ambao wamehusika kufanya matukio mbalimbali ya kihalifu katika mkoa wa Dar es Salaam, wameuawa na majambazi wenzao katika eneo...
View ArticleRaymond Aeleza Sababu ya Kumuimbia Avril Jukwaani
CHUMA BLOGRaymond alisababisha yowe kubwa mwishoni mwa wiki katika show ya WCB mjini Mombasa alipompandisha mrembo wa Kenya, Avril aliyekuwa mmoja wa watu waliohudhuria.Akiongea na Bongo5, Raymond...
View ArticleBASI LA HOOD LA MBEYA - ARUSHA LAUA NA KUJERUHI
CHUMA BLOGMtu mmoja amefariki na watano kujeruhiwa baada ya basi la Hood T477 AXV, kugonga Pikipiki na kupinduka katika eneo la Mambungo. Chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki kuhamia ghafla...
View ArticleSalum Mwalimu na Wafuasi 18 wa Chadema Waachiliwa kwa Dhamana
CHUMA BLOGMahakama ya Hakimu Mkazi Simiyu imewaachia kwa dhamana Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu na wafuasi wengine 18 wa chama hicho baada ya kukaa mahabusu kwa zaidi ya siku...
View ArticleKutana Na Wauzaji Wa Mataili Mjini Morogoro Sasa
CHUMA BLOG Kwa Mataili ya mataili aina zote kutana na Ally Nyau Trader's Morogoro Mtaa wa Masika. Sasa fika hapo kwa kulivalisha gari lako mataili mapya kwajili ya safari salama zaidi.Yanapatikana...
View ArticleMatukio Ya Bungeni Mjini Dodoma Leo
CHUMA BLOG Baadhi ya Wabunge wakiingia katika ukumbi wa bunge kuhudhuria mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri...
View ArticleFUNDI VIATU AUWAWA KWA KUPIGWA JIWE KICHWANI MOROGORO
CHUMA BLOG Mtuhumiwa huyo akiwa ndani ya gari la Polisi Gari la Polisi likiondoka eneo la tukio na maiti ya Hansi pamoja na Mtuhumiwa Ofisi ya Hansi Wananchi wakiangalia ofisi ya Hansi kwahuzuni...
View ArticleKatibu Mkuu wa UN, Kofi Annan Azomewa Nchini Myanmar
CHUMA BLOGWanaharakati wa Kibudha nchini Myanmar wamemzomea na kumkemea Katibu Mkuu wa Zamani wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan.Bw Annan alizomewa baada ya kuwasili katika jimbo la Rakhine kuchunguza...
View ArticleObama afuta mkutano na kiongozi wa Ufilipino kwa kuitwa "mwana wa kahaba"
CHUMA BLOGPhilippine President Rodrigo Duterte Rais wa Marekani Barack Obama amevunja mkutano wake na Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte, ambaye awali alikuwa amemwita "mwana wa kahaba".Bw Obama awali...
View ArticleACT WAZALENDO YATOA TAMKO KUHUSU HALI YA NCHI KWA SASA
CHUMA BLOG1. UtanguliziJana Jumatatu, 5 Septemba 2016, Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo ilikutana katika kikao chake cha kawaida. Pamoja na mambo mengine, Kamati Kuu ilipokea, kujadili na...
View ArticleRAIS MAGUFULI AAGIZA WAKAZI WA MAGOMENI KOTA KUISHI MIAKA 5 KWENYE NYUMBA ZA...
CHUMA BLOG Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza waliokuwa wakazi wa Magomeni Kota kukaa kwenye nyumba za Serikali miaka mitano bure na baadaye kuzinunua kwa...
View ArticleSteve Nyerere Wasichana kunigombania siyo dhambi
CHUMA BLOGMsanii mkongwe wa filamu Steve Nyerere amedai wasichana kugombana kwa ajili ya staa ni jambo la kawaida hivyo yeye ashangai kusikia bado kuna wasichana wanagombana kwa ajili yake.Akiongea...
View Article