MFANYABIASHARA APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUMTISHIA RAIS MAGUFULI
CHUMA BLOGMFANYABIASHARA Leonard Materu (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kutuma ujumbe wa kumtishia Rais John Magufuli kupitia mtandao wa...
View ArticleMastaa wa Marekani waliodai wataihama Nchi Hiyo Donald Trump Akishinda
CHUMA BLOGOrodha kubwa ya mastaa wa Marekani imeapa kuihama nchi hiyo iwapo Donald Trump atashinda uchaguzi na kuwa rais.Iwapo mgombea huyo wa chama cha Republican akishinda, mastaa kama Jon Stewart,...
View ArticleMAGAZETI YA NDANI NA NJE YA TANZANIA LEO ALHAMIS,SEPT 08,2016
CHUMA BLOG TANZANIA KENYA UK Chuma Empire
View ArticleMKAZI WA JIJI LA DAR AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA MOROGORO.
CHUMA BLOGKamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Urlich Matei (kushoto), akiwaonyesha waandishi wa habari magunia ya bangi yaliyokamatwa katika eneo la Mindu. JESHI la Polisi mkoani Morogoro,...
View ArticleSIMEONE AONGOZA MBELE YA ZIDANE, TUZO YA KOCHA MWENYE HESHIMA NCHINI HISPANIA
CHUMA BLOGMakocha Zinedine Zidane na Diego Simeone wanaongoza kwenye jura za makocha wenye heshima kubwa kwenye La Liga nchini Hispania.Makocha hao, wamepata jura nyingi zaidi kupitia mtandao katika...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA UJENZI WA MAKAZI MAPYA...
CHUMA BLOGWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu katika eneo la Mlimwa na kuagiza umalizike kwa wakati ili aweze kuhamia kama alivyoahidi.Katika...
View ArticleMajina ya Watu 4 Matajiri zaidi Tanzania
CHUMA BLOGUchumi mkubwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unategemea zaidi kilimo kwa takriban asilimia 25 ya GDP na asilimia 85 Exports. Aidha, Tanzania ina madini kama dhahabu, almasi, makaa yam...
View ArticleMahakimu 11 Wafukuzwa Kazi, Wengine 30 Kikaangoni
CHUMA BLOGWATUMISHI 34 wa mahakama wakiwemo mahakimu 11, wamefukuzwa kazi kutokana na makosa mbalimbali ya kinidhamu.Aidha, Tume ya Utumishi wa Mahakama inaendelea kujadili hatma ya mahakimu 30,...
View ArticleKR Mulla:Nipo Tayari Kurudi TMK Wanaume Family
CHUMA BLOGKR Muller amesema kama angetaka kurudi TMK Wanaume Family kwa Juma Nature angekuwa amerudi kwa kuwa hakuna aliyemfukuza.Rapper huyo ambaye kwa sasa yupo ‘Rada Entertainment’ kwa TID,...
View ArticleBODA BODA AGONGA MTI NA KUFALIKI HAPO HAPO MOROGORO
CHUMA BLOGWananchi wakiuangalia mti huo ukiwa katikati ya barabara ya Mazimbu Muonekano wa pikipiki Muonekana wa boda boda ya Marehemu kwa nyumba yenye namba za usajiri MC 673 AXE Baada ya kuanguka...
View ArticleMAJIBU YA WAZIRI MKUU BUNGENI
CHUMA BLOGI Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inaendelea kukutana na wadau tofauti wanaohusika na masuala ya uchumi katika kuhakikisha uchumi wa nchi unaendelea kukua. Hayo yamesemwa na...
View ArticleWAZIRI WA MEXICO AJIUZULU KUPINGA ZIARA YA TRUMP
CHUMA BLOGImage captRais wa Mexico Enrique Pena Nieto na mgombea urais kwa tiketi ya chama cha RepublicanWaziri wa Fedha nchini Mexico, Luice Videgaray amejiuzulu wadhifa wake wiki moja baada ya ziara...
View ArticleProfesa Lipumba Asema Hana mpango wa kuhama CUF wala kuanzisha chama Kingine,...
CHUMA BLOGAliyekuwa mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema hana mpango wa kuhamia chama chochote.Aidha amesema hana mpango wa kuanzisha chama chake kwa kuwa yeye bado ni Mwenyekiti halali...
View ArticleMama Rwakatare awatoa wafungwa 12 gereza la Keko
CHUMA BLOGMchungaji wa kanisa la Mikocheni B Assemblies of God, Askofu Dr Getrude Rwakatare, amewatoa wafungwa 12 waliokuwa wamefungwa kwenye gereza la Keko jijini Dar es Salaam huku lengo ni kuwatoa...
View ArticleTravellah Aeleza Alivyoteswa na 'Natafuta Kiki'..Amponda Director Hascana
CHUMA BLOGMwongozaji wa video za muziki kutoka Kwetu Studio Msafiri a.k.a Travellah amesema kuwa video mpya ya Rayvanny "NATAFUTA KIKI" ni video iliyompa wakati mgumu zaidi kuitengeneza.Akizungumza na...
View ArticleMwimbaji Linah Amnyakuwa Idriss Sultan Kutoka Kwa Wema Sepetu...Yadaiwa...
CHUMA BLOGKipindi cha Nyuma Linah sanga aliingia Bifu zito baada ya Kuibiwa Bwana na Wema Sepetu ambapo alilalamika sana kwenye vyombo vya habari hasa Radioni... Hivi karibuni Linah na Mpenzi wa Wema...
View ArticleCOUTINHO NDANI YA UWANJA WA UHURU
CHUMA BLOGAkiwa jukwaani tayari kwa kushuhudia timu yake ya zamani yanga wakivheza na majimajiChuma Empire
View ArticleNilikunywa Pombe Kutoa Aibu Kwenye Video ya ‘Natafuta kiki’-Shilole
CHUMA BLOGMsanii wa muziki wa bongo fleva Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole amefunguka na kusema ilikuwa ni jambo gumu kwake kufanya video ya ‘Natafuta kiki’ ya msanii Raymond.Msanii Raymond akiwa na...
View ArticleOperesheni Dadapoa, Kakapoa Dar es Salaam Yashika Kasi
CHUMA BLOGJESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema linafanya operesheni ya kuwakamata wamiliki wa nyumba za kulala wageni wanaofanya biashara kinyume cha sheria.Taarifa iliyotolewa na...
View Article