Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Browsing all 2614 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tekemeko la Ardhi Laikumba Kanda ya Ziwa, Nyumba Zaporomoka

CHUMA BLOG  Leo Septemba 10, 2016, tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa Ritcha 5.7 limeikumbuka mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa Kagera na Mwanza na kusababisha maafa makubwa ikiwemo nyumba za watu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtangazaji wa Clouds Tv ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wilaya

CHUMA BLOGHii sio mara ya kwanza kwa Rais Magufuli kuteua watangazaji kushika nyadhifa mbalimbali kwani alimteua aliyekuwa Mtangazaji wa ITV, Godwin Gondwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni.Leo Septemba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA UKAWA WAKUTANA OFISINI KWA LOWASSA

CHUMA BLOGSiku moja baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kuwasimanga viongozi wa Ukawa kuhusu namna walivyompokea Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na kumteua kuwa mgombea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC Same Apiga Marufuku Kufanya Biashara Kwa Kujaza Lumbesa

CHUMA BLOGMkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Staki Senyamule, akikagua magunia yaliyokutwa yakiwa yamejazwa lumbesa.Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Staki Senyamule, akizungumzia unyonyaji wanaokumbana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chidi benzi Adaiwa Karudia Matumizi ya Madawa ya Kulevya

CHUMA BLOGAma kweli sikio la kufa halisikii dawa, hatimaye Chidi benzi licha ya kuripoti hapo awali ya kuwa ameachana na madawa ya kulevya na kurudi na ngoma iitwayo chuma na kufanikiwa kupenya na hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Idriss Sultan na Linah Sanga si Siri Tena..Picha yao Wakiwa Kitandani...

CHUMA BLOGIMEBUMBURUKA!Sexy lady wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah’ na Mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan, wanadaiwa kuwa ndiyo habari ya mjini kwa sasa kwani penzi lao siyo siri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"TETEMEKO KAGERA LILIPIGA KILOMETA 10 CHINI YA ARDHI"- WAKALA WA JIOLOJIA...

CHUMA BLOGWAKALA wa Jiolojia Tanzania (GST), umetoa ufafanuzi juu ya tetemeko lililotokea mkoani Kagera na kusema kuwa kitovu cha tetemeko hilo, kiko chini ya ardhi urefu wa kilometa 10. Aidha umetoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIMOND Msamehe Baba'ko

CHUMA BLOGNi kweli inauma mno kutelekezwa na mzazi. Mimi ambaye baba na mama yangu walinilea kwa umoja wao pamoja na umaskini wetu, huwa nawaza ingekuwaje baba au mama asingekuwa karibu yangu? Malezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABILIONI YAKUSANYWA TETEMEKO BUKOBA,KAMPUNI ZA MAFUTA OILCOM,GBP NA MOIL...

CHUMA BLOG WAKATI vifo vya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera vikiongezeka na kufikia 17, uongozi wa mkoa huo umesema zinahitajika zaidi ya Sh bilioni 2.3 kwa ajili ya mahitaji mbalimbali ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA AGNESS MASOGANGE ZALETA UTATA

CHUMA BLOGAgnes amwaga Povu Kuhusu Watu Kukosea nguo yake baada ya kuonekana akificha kitu sehemu yake ya mbele!!! Aandika mazito na matusi juu...soma hapa..👇👇👇👇.By @officialagnes1 - Sikien nyie makuma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA MAUWAJI YA KINYAMA YA DADA WA BILIONEA MSUYA KUNA TAARIFA MPYA TENA

CHUMA BLOGUPANDE wa Jamhuri leo umetoa majibu ya hoja ya kutaka kufutiwa mashtaka ya mauaji inayomkabili mke wa marehemu bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita na mfanyabiashara Revocatus Muyela.Awali,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU ASHIRIKI SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS WA ZAMBIA...

CHUMA BLOGMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtangazaji mpya wa Clouds FM, Kicheko ni jiwe lililogeuka dhahabu

CHUMA BLOGMaisha ni safari na hatutakiwi kukata tamaa kwa kuwa hatujui kesho yetu. Ukiisikia historia ya maisha ya mchekeshaji ambaye kwa sasa amegeuka kuwa mtangazaji wa Clouds FM, Kicheko unaweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASTA WAJITOA FAHAMU KWENYE KIBAO KATA ''KICHEN PARTY'' CHA MTANGAZAJI WARDA...

CHUMA BLOG   Dida ( Mtangazaji)  akikata uno mithiti ya feni..baada ya  kujitoa fahamu Mzuka ulipompanda alijituopa kwenye godoro la zawadi ya bibi harusi mteule na kuendelea kukata mauno. Watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEKI WA YANGA AKIRI KUWA ANAMHOFIA MAVUGO, ILA KICHUYA ANAMJUA VIZURI SANA

CHUMA BLOGBeki anayefanya vema kwenye kikosi cha Yanga na ambaye amekuwa akipata nafasi ya kuzanza kwenye kikosi cha kwanza, Andrew Vincent ‘Dante’, amemtolea uvivu kiungo anayesumbua Shiza Kichuya wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majambazi 10 yateka magari, yaua dereva

CHUMA BLOGMajambazi wapatao 10 juzi usiku walivamia magari mawili yaliyobeba wafanyabiashara waliokuwa wakitokea mnadani na kumuua kwa risasi, dereva aliyegoma kuwapa fedha na simu. Dereva huyo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO WATEKETEZA HOTELI YA KCC KIBAHA MAILI MOJA, MCHANA HUU

CHUMA BLOGMoto Mkali ukiendelea kuteketeza eneo la jiko la hoteli ya KCC iliyopo Kibaha Maili Moja, Mkoani Pwani mchana huu. Askari wa zimamoto bado wanaendelea na uzimaji wa moto huo. haijafahakima...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dkt. Magufuli Amuapisha Balozi Dk. Dau Pamoja Na Makatibu Tawala Wa...

CHUMA BLOGRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Ramadhani Dau kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tundu Lissu Aishukia Serikali Kuhusu Kutumia Pesa za Mifuko ya Jamii Bila...

CHUMA BLOG*Anaandika Tundu Lissu*Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu.Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15

CHUMA BLOG Chuma Empire

View Article
Browsing all 2614 articles
Browse latest View live