Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

MASTA WAJITOA FAHAMU KWENYE KIBAO KATA ''KICHEN PARTY'' CHA MTANGAZAJI WARDA MAKONGWA

$
0
0
CHUMA BLOG

 

 Dida ( Mtangazaji)  akikata uno mithiti ya feni..baada ya  kujitoa fahamu
 Mzuka ulipompanda alijituopa kwenye godoro la zawadi ya bibi harusi mteule na kuendelea kukata mauno.
 Watu Didaaaaaaaaa.
 Dida akizungumza na Mpiga picha wa Mtandao huu baada ya kufanya yake
 Bi,Harusi mteule Warda kulia akimng'ongoneza jambo dada yake.
 Dida akiwa na kampani yake aliyotoka nayo Dar

 Mtangazaji Mahiri nchi Warda Makongwa anayetarajiwa kufunga ndoa mwishoni mw awiki hii akiingia kwenye ukumbi uliopo nyumbani kwa mjomba wake Juma Tembo Pane za Tubuyu,katika sherehe hiyo ya Usiku wa Vyombo iliyosindikizwa na kibao kata kila tukio Warda alibadili nguo yenye thamani kubwa hili ni gau alioingia nalo ukumbini.
 Mambo ya kibao kata na matarumbea

 Kibao kata kimekolea ukumbini


 Warda akigonga glas na dada wayke Dida




 Ngepengele cha zawadi Warda alitinga gauni hili


 Matangazaji na Somo Maarufu wa Planet Fm Farham Abraham akicheza muziki wa taarabu huku akiwa ameketi
 Mmiliki wa hotel ya B-Z Kulia ambaye ni Sngazi yake Warda akimkabidhi zawadi  ya jiko la kisasa Mwanae
 Akikabidhiwa kitanda
 Warda akimshukuru Shangazi yake huyo kwa kupiga goti.
 Somo Farha akimtunza mtangazaji mwenzake anyekimbiza naye katika kipindi cha Mcharuko wa Pwani Planet Fm


 Watangzaji Warda,[Kulia]. somo Farhm [kati] na Mtangazaji wa Redio Abood Bi,Rukia Ndege ambaye ndiye aliyekuwa MC katika Hafla hiyo iliyofunika kambaya.
 Mwanamintindo Maarufu Mkoa wa Morogoro ambaye pia anamiliki madukaa kadhaa ya nguo za kike na vipodozi Tabu Segumba akiwa na Warda baada ya kumpa zawadi yake
 Grece Haule ambaye ni Mkurugezi wa ukumbi wa Nyamatandala anayemiliki pia bendi la Burudani akisema nene kabla ya kummwagia manoti Warda
 ....Grece akimmwagia minoti Warda
 Warda akiwa katika picha ya pamoja na watangzaji wenzake wa Palnet waliongozwa na bosi wao Rehema
 Geiya Silim Mamaaa wa Mji [kushoto] ambaye anamiliki saloon za kike na duka la dawa za asili lililopo Mji Mpya
















 Warda na Dida wakipozi mbele ya kamera za Mtandao huu


 Kipenglee cha chakula Warda alihitimisha kwa kuvaa nguo hii
 
MTANGAZAJI Maarufu wa kituo cha Redio cha Times. FM cha jijini Dar es salaam Dida Shaibu Mwishoni Mwa wiki iliyopita alimwaga razi kwenye shughuli ya kibao kata iliyofanyika nyumbani kwa Mjomba wake Diwani wa Kata ya Tungi kupitia leseni ya Ukawa Juma Tembo anayeishi Tubuyu kata hiyo ya Tungi. 

Tukio hilo lilitokea ikiwa ni siku  chache kabla ya Warda Makongwa ambaye ni mdogo wa kuzaliwa wa Dida ambaye naye ni Mtangazaji mahiri wa Redio Planet ya Mkoani hapa kufunga ndoa na mtu aliyetajwa kuwa kigogo kutoka Zanzibar ambapo Send off yake inatarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii mkoani hapa.

Katika Sherehe hiyo iliyosheheni Mastaa kibao wa mkoa wa Morogoro iliyoepwa jina la Usiku wa Vyombo Dida kwa furaha ya Mdogo wake kukaribia kufunga ndoa,alijitoa fahamu kwa kucheza kihasara hasa na kuweka ustaa wake kando,ambapo alikata mauono mithiti ya feni na baadae kujitupa kwenye godoro la zawadi la bibi harusi huyo mtarajiwa.

Kitendo hicho kiliwaacha wageni waalikwa midomo wazi kwa halikuwa tukio lililotarajiwa,kabla ya hafla hiyo iliyofanyika mkoani hapa Dida alimfanyia pia mdogo wake huyo sherehe ya Kitchen Party jijini Dar es salaam iliyohudhuriwa na Mastaa kibao

Na Dustan ,Morogoro.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles