Gavana BOT Afichua Siri ya Kilio Cha Fedha Kupotea Mtaani
CHUMA BLOGGavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu jana alitolea ufafanuzi hali ya kiuchumi nchini huku akieleza siri ya kilio kinachovuma cha fedha kupotea mtaani na nyingine zikidaiwa...
View ArticleSijawahi Kumsaliti Zari Hassan - Diamond Platnumz
CHUMA BLOG Zari Hassan na Dimaond PlatnumzMsanii Diamond Platnumz alipokuwa kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio wiki kadhaa zilizopita alifunguka na kusema kuwa katika maisha yake toka...
View ArticleBrand New Audio song kutoka kwa Sharpa Tiz
CHUMA BLOGPure Records za mjini Morogoro chini ya Producer Dizzy Mchizi, wanakuletea hii audio mpya ya kwake Sharpa Tiz akimshirikisha Brown Punch wote kutoka MorogoroChuma Empire
View ArticleWasanii na viongozi wa WCB waalikwa nyumbani kwa rais mtaafu Jakaya Kikwete
CHUMA BLOGRais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete Jumatano hii aliwaalika wasanii wa label ya WCB pamoja na viongozi nyumbani kwake na kula nao chakula cha mchana.JK ambaye ni mmoja kati ya marais...
View ArticleEast African Business Leaders celebrated in Kigali
CHUMA BLOGThe winners of the East African round of the 2016 All Africa Business Leaders Awards in Partnership with CNBC Africa (AABLA) were announced at theKigali Convention Centre (KCC) during an...
View ArticleJK AZUNGUMZIA RAIS MAGUFULI KUTOKWENDA ZAMBIA
CHUMA BLOGRais mstaafu, Jakaya Kikwete ameunga mkono uamuzi wa Rais John Magufuli kuahirisha safari kwenda nje ya nchi ili kushiriki katika maafa ya tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera.Kikwete...
View ArticleWaasi wamewateka madereva 5 wa Tanzania, wanataka $ 4,000 kwa kila Dereva
CHUMA BLOGKUNA TAARIFA KUWA waasi wa Mai Mai wamewateka madereva wa Tanzania watano na kuchoma baadhi ya magari. Wanadai usd 4000 kwa kila Dereva amasivyo watawapiga risasi. Wametoa deadline ya majeshi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA,SEPTEMBA 16,2016
CHUMA BLOG Kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Ijumaa,16.9.2016 TANZANIA UKChuma Empire
View ArticleKINYWAJI CHA KUPOTEZA "BIKIRA KWA WANAWAKE" CHAZUA GUMZO
CHUMA BLOGKinywaji maarufu kwa jina ''blackout in a can' nchini Marekani kimeingia nchini China.Four Loko ,kinywaji kilicho na ladha ya matunda na asilimia 12 ya pombe kilitumika sana katika sherehe...
View ArticleNamanga: Edward Lowassa asimamishwa na wananchi wamweleze ugumu wa maisha
CHUMA BLOGMh Edward Lowassa Mjumbe wa kamati kuu wa chama Cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA ) na Chama kikuu cha Upinzani TANZANIA na Waziri Mkuu mstaafu amesimamishwa na Wananchi wa Namanga Mpakani...
View ArticleHukumu Ya Rufaa Ya Zombe na Wenzake Kutolewa
CHUMA BLOGAliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam (RCO) Kamishna Msaidizi wa Polisi Abdallah ZombeBaada ya kimya kirefu, Mahakama ya Rufaa leo inatarajia kutoa uamuzi wa rufaa ya aliyekuwa...
View ArticleMadereva wa malori wa Tanzania na Kenya waliotekwa DR Congo waokolewa
CHUMA BLOGMadereva wa malori kutoka nchini Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye waokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo. Hayo ni kwa mujibu wa waziri...
View ArticleJacqueline Mengi Afanya Uzinduzi Wa Duka La Samani (Molocaho – Amorette)
CHUMA BLOGMrembo wa taji la Miss Tanzania 2000, Bi. Jacqueline Mengi akizungumza na wageni walikwa pamoja na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa duka lake la samani za ndani...
View ArticleMakamo wa pili wa Rais Zanzibar Hauthulia Harusi Ya Mwanae Mjini Morogoro...
MTANGAZAJI Mahiri mkoania Morogoro Warda Mkaongwa Mchana huu anatarajia kufunga ndoa na mtoto wa Makamo wa pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar Mh Balozi Seif Ally ldd. Picha Mh Balozi Seif akiwa na...
View ArticleUKUTA ULIVYOIPONZA RADIO YA LOWASSA..IMEFUNGWA NA KUPIGWA FAINI YA MILIONI 5
CHUMA BLOGMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia Kamati yake ya Maudhui imekifungia kituo cha Redio 5 Arusha kwa kipindi cha miezi mitatu pamoja na kukitoza faini ya sh. Milioni 5 kwa kosa la...
View ArticleNaongoza kwa Kutukanwa Kwenye Muziki, Lakini Najivunia Kuupeleka Muziki...
CHUMA BLOGMkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amesema yeye ni mtu ambaye anaongoza kwa kutukanwa katika tasnia ya muziki kutokana na harakati zake za kuupigania...
View ArticlePicha za Fiesta 2016 Morogoro
CHUMA BLOG Vanessa Mdee katisha sanaa aisee Adam Mchomvu kwenye Stage ya Morogoro Mama mzazi wa marehemu Albert Mangwea akitoa neno la shukrani kwa wasanii na waandaaji wa Fiesta 2016 katika uwanja wa...
View ArticleWCB Waliingia Makubaliano Na Saida Karoli
CHUMA BLOG Sehemu ya picha zikimuonesha mwanamuziki Diamond akiwa na Felician Mutakyawa.Meneja Sallam kutoka WCB kupitia akaunti yake ya Instagram ameonyesha baadhi ya nyaraka ambazo zimewapitia kibali...
View ArticleVideo Mpya Ya Diamond Platnumz ft. Rayvanny – Salome
CHUMA BLOGStaa wa muziki nchini, Diamond Platnumz ameachia nyimbo ambayo amemshirikisha msanii mwenzake ambaye yupo katika lebo yake ya WCB Wasafi, Rayvanny ambayo ameipa jina la Salome. Video...
View Article