CHUMA BLOG

Pure Records za mjini Morogoro chini ya Producer Dizzy Mchizi, wanakuletea hii audio mpya ya kwake Sharpa Tiz akimshirikisha Brown Punch wote kutoka Morogoro