News Alert!! BASI LA NEW FORCE LA DAR - SONGEA LAUA WATU 12,HUKO NJOMBE
CHUMA BLOG Basi la New Force kutoka Dar es salaam kwenda Songea limepata ajali baada ya kupinduka eneo la Kifanya kilomita kadhaa kutoka mkoani Njombe.Ajali hiyo imetokea Septemba 19,2016 majira ya saa...
View ArticleWema Sepetu....Ampigia Chapuo Kevin Hart MTV Mama Badala ya Idriss
CHUMA BLOGAdui yako muombee njaa – Wema Sepetu na Idrs Sultan ngoma bado ngumu.Wema amepigilia msumari wa moto kwa kupost picha ya mchekeshaji wa Marekani, Kevin Hart ambaye anawania nafasi ya kuhost...
View ArticleZitto Kabwe: Escrow Inaendelea Kulitafuna Taifa
CHUMA BLOGMbunge wa Kigoma mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe.Kwanini Rais Magufuli hafanyii Kazi suala la IPTL? Matapeli hawa wataendelea kuipa hasara Nchi yetu mpaka...
View ArticleVee Money Kutoa Wimbo Mpya akiwa na Trey Songz
CHUMA BLOGMsanii mwenye ‘title’ kubwa Afrika Mashariki,Vanessa Mdee Vanessa Mdee ‘Vee Money.Stori: Boniphace NgumijeBAADA ya msanii mwenye ‘title’ kubwa Afrika Mashariki, Vanessa Mdee ‘Vee Money’...
View ArticleMKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO, MHANDISI FELCHESMI MRAMBA ATEMBELEA BUKOBA...
CHUMA BLOG Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), Mhandisi Felchesmi Mramba, (wapili kulia), akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Shirika hilo mkoani Kagera, Mhandisi Francis...
View ArticleRais Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza ofisi za gazeti la Uhuru
CHUMA BLOGRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 19 Septemba, 2016 amefanya ziara ya kushitukiza katika Ofisi za Gazeti...
View ArticleKizimbani kwa kutangaza kuoa askari mwenye mafuta ya kilainishi cha KY JELLY
CHUMA BLOGMfanyabiashara Christon Mbalamula, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kulidhalilisha Jeshi la Polisi kwa kudai anatangaza ndoa na askari watakaomhudumia kama mume, huku akihoji kama...
View ArticleANGALIA PICHA- Basi la New Force Lapata Ajali na Kuua Watu 12 Njombe
CHUMA BLOGBasi la kampuni ya New Force lenye namba za usajili T429 DEU baada ya kupinduka eneo la Ilongwe kata ya Kifanya, Mkoani Njombe.Wananchi na polisi wakiwa eneo la ajali. …Wakiendelea kuokoa...
View ArticleVideo: Msanii TID Ajisifu Kumkaza Wema Sepetu Akiwa Jukwaani..
CHUMA BLOGKatika usiku wa RnB ulioandaliwa na the Bridge show ya mlimani TV, line up ya wasanii kadhaa iliperform lakini mnyama TID ambaye amekwisha kutajwa kama moja ya mastaa waliowahi kudate na Wema...
View ArticleNDEGE MPYA YA KWANZA AINA YA BOMBADIER Q400 NEXTGEN YA ATCL YATUA NA KUPEWA...
CHUMA BLOG Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikipata saluti ya maji (Water Canon Salutation) toka kwa magari ya Jeshi la Zimamoto na...
View ArticleAjali Mbaya Yaua 10 Na Kujeruhi 7 Mwanza
CHUMA BLOG Mashuhuda wakiwa eneo la tukio. Hiace ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali hiyo. Baada ya ajali hiyo. Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wakiwa eneo la tukio.KWIMBA, MWANZA, Basi la Super...
View ArticleMagufuli Atengua Uteuzi Wa Mwenyekiti LAPF
CHUMA BLOG Barua kuhusu kusitishwa kwa uteuzi huo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo ameivunja bodi ya Udhamini ya LAPF na kutengua uteuzi wa Mwenyekiti wake Profesa...
View ArticleAliKiba na Diamond Kuoneshana jeuri ya Pesa
CHUMA BLOGMziki wa bongo fleva umepata umaarufu mkubwa sana Barani Afrika na Duniani kwa ujumla.Kitendo hiki cha mziki wetu kuvuka border kimesaidia sana kuongeza Ajira kwa vijana na kukuza vipato vya...
View ArticleHawa Hapa Ndio Watoto wa Mwanamuziki Shilole Kiuno
CHUMA BLOGKwa wale ambao mlikuwa hamuwajui watoto wa Shilole aka Shishi basi hawa ndio watoto wake, sema chochote Chuma Empire
View ArticleMsajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kasema Prof Ibrahim...
CHUMA BLOGMsajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema kuwa Prof. Ibrahim Lipumba bado ni mwenyekiti halali wa Chama cha Wananchi (CUF).Jaji Mutungi ameyasema hayo leo baada ya...
View ArticleVanessa Mdee Aeleza Collabo Yake na Trey Songz….
CHUMA BLOGNi Headlines za Vanessa Mdee ambae amekuwa ni moja kati ya wasanii wa Africa waliochaguliwa kurekodi wimbo na mshindi wa Grammy na mwimbaji wa RNB nchini Marekani, Trey Songz kupitia msimu wa...
View ArticleManeno 285 ya Prof. Lipumba baada ya kufika Makao Makuu ya CUF
CHUMA BLOGBaada ya Msajili wa Vyama vya Siasa kutangaza kuwa, Prof. Lipumba bado ni mwenyekiti halali wa Chama cha Wananchi (CUF), jana kiongozi huyo aliandamana na wananchi na wananchama wa CUF hadi...
View ArticleMadhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu
CHUMA BLOGHabari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:Hasira za mara kwa mara katika mambo...
View ArticleMwalimu Nyerere Aenziwe Kwa Vitendo – NEC
CHUMA BLOGNa. Aron Msigwa – NEC. Viongozi wa vyama vya Siasa wametakiwa kuiga kwa vitendo uzalendo na moyo wa kujitoa aliokuwa nao Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake ili...
View Article