CHUMA BLOG
Mashuhuda wakiwa eneo la tukio.


Hiace ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali hiyo.

Baada ya ajali hiyo.

Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wakiwa eneo la tukio.
KWIMBA, MWANZA, Basi la Super Shem kutoka Mbeya kwenda Mwaza leo limegongana na Hiace na kusababisha vifo 10 na wengine 7 kujeruhiwa Nghungumalwa wilayani Kwimba.
Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo.