$ 0 0 CHUMA BLOG Barua kuhusu kusitishwa kwa uteuzi huo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo ameivunja bodi ya Udhamini ya LAPF na kutengua uteuzi wa Mwenyekiti wake Profesa Hasa Mlawa.