MTANGAZAJI Mahiri mkoania Morogoro Warda Mkaongwa Mchana huu anatarajia kufunga ndoa na mtoto wa Makamo wa pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar Mh Balozi Seif Ally ldd.
Picha Mh Balozi Seif akiwa na Mkewe katika Picha ya Pamoja na Maharusi hao wateule Warda na Selema Mpemba ambaye anamiliki duka la vifaa vya michzo za The Gunners ambaye pia ni mdau mkumbwa wa Michezo mkoani Morogoro akiendesha michuano ya Ndondo Cup na juzikati alifanikiwa kushinda nafasi ya mwakilishi wa vilabu katika uchaguzi wa chama cha soka Manispaa ya Morogoro. Send Off hiyo iliyofanyika jana katika Ukumbi wa hotel ya B-Z Mkoani Morogoro. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Steve Kambwe.