CHUMA BLOG
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Staki Senyamule, akikagua magunia yaliyokutwa yakiwa yamejazwa lumbesa.

Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Staki Senyamule, akizungumzia unyonyaji wanaokumbana nao wananchi kutoka kwa wafanyabiashara wanaotaka magunia yaliyojazwa lumbesa.

Gari aina ya Fuso likiwa limekamatwa mara baada ya kubainika kuwa limebeba magunia ya vitunguu ambayo yamejazwa lumbesa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Anna-Claire Shija akisisitiza jambo wakati wa mkutano na wananchi wilayani humo.


Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Staki Senyamule pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo wakisikiliza malalamiko ya wananchi.