Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Mastaa wa Marekani waliodai wataihama Nchi Hiyo Donald Trump Akishinda

$
0
0
CHUMA BLOG
Orodha kubwa ya mastaa wa Marekani imeapa kuihama nchi hiyo iwapo Donald Trump atashinda uchaguzi na kuwa rais.

Iwapo mgombea huyo wa chama cha Republican akishinda, mastaa kama 

Jon Stewart, Cher, Barbra Streisand, Samuel L. Jackson, Chelsea Handler na Lena Dunham 
wamesema watahamia Canada au nchi zingine duniani, lakini sio kuwa chini ya uongozi wa bilionea huyo mwenye mdomo mchafu.

“If he were elected, I’m moving to Jupiter,” aliandika muimbaji mkongwe, Cher.


Kwa upande wake muigizaji mkombwe, Jackson alisema, “If that motherf- -ker becomes president, I will move my black ass to South Africa.”


Hata hivyo wapo mastaa ambao awali waliwahi kutoa ahadi kaka hizo wakazivunja pindi George W. Bush alipoingia White House mwaka 2000.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles