Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

BASI LA HOOD LA MBEYA - ARUSHA LAUA NA KUJERUHI

$
0
0
CHUMA BLOG

Mtu mmoja amefariki na watano kujeruhiwa baada ya basi la Hood T477 AXV, kugonga Pikipiki na kupinduka katika eneo la Mambungo.

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki kuhamia ghafla upande wa kulia akitaka kuingia katika kituo cha mafuta





Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles