CHUMA BLOG
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini katika kitabu cha wageni
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
Makamanda wakipiga bastola za miali kuashiria kuanza kwa zoezi hilo la medani
Kazi imeanza....
Ndege vita zikiwa katika fomesheni
Vifaru vinavyotembea majini na ardhini vikikaribia ngome ya adui
Vifaru vinatoka majini na kuendelea na mashambulizi nchi kavu
Makamanda wakiongoza shambulizi ![]()
Hali tete ngome ya adui
Hatimaye zoezi la kumtoa adui limekamilika kwa mafanikio na wapiganaji wanaelekea uwanja wa sherehe
Wapiganaji wanarudi kishujaa
Wapiganaji wakiwa uwanja wa sherehe
Amiri Jeshi Mkuu akiongea na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange akikabidhi bendera kwa mpiganaji kuirudisha makao makuu kuashiria hitimisho la zoezi hilo
Kwaherini vijana
Amiri Jeshi Mkuu akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mhe. Assumpter Mshama
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiondoka eneo la tukio kwa ukakamavu