Serikali Yaridhia Utekelezaji Wa Ujenzi Wa Mradi Wa Bomba La Mafuta
CHUMA BLOGSERIKALI ya Tanzania imeridhia rasmi utekelezaji wa mradi ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Kabaale katika Wilaya ya Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania. Uamuzi...
View ArticleKwaheri Shimon Peres Na Safari Ndefu Ya Kisiasa Israel
CHUMA BLOG Marehemu Shimon Peres enzi za uhai wake.Septemba 13, 2016 vyombo vingi vya habari duniani kote vilitawaliwa na habari ya kuugua ghafla kwa mwanasiasa nguli wa nchini Israel, Shimon...
View ArticleWaziri Mkuu apokea misaada zaidi ya kuwasaidia waathirika wa tetemeko Kagera
CHUMA BLOGWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea zaidi ya sh. milioni 760 zikiwa ni misaada kwa wananchi walioathirika na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera Septemba 10, mwaka huu. Amepokea...
View ArticleAsilimia 60 wananchi hawataki maandamano
CHUMA BLOGTAASISI isiyokuwa na kiserikali ya Twaweza imesema asilimia 60 ya wananchi wanaunga mkono kuzuiwa kwa mikutano ya vyama vya siasa.Ripoti hiyo iliyotolewa jana Jijini Dar es Salaam ilihusu...
View ArticleTaarifa kuhusu kesi ya viongozi waliofungua akaunti bandia ya maafa Kagera
CHUMA BLOGWatumishi watatu wa Serikali akiwamo Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Bukoba, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba wakituhumiwa kutaka kujipatia fedha kwa njia za...
View ArticleWaziri Mkuu Kuhamia Dodoma Leo
CHUMA BLOGWAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajia kuhamia rasmi Dodoma leo.Majaliwa anahamia mjini hapa ikiwa ni sehemu ya kutekeleza ahadi ya Serikali ya awamu ya tano ya kuhamia Dodoma ambako ndiko...
View ArticleMakamu Wa Rais Kuongoza Upandaji Miti
CHUMA BLOGMkuu wa Mkoa wa Dar es Saalam Paul Makonda.MAKAMU wa Rais, Samia Hassan Suluhu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katikauzinduzi wa Kampeni ya Upandaji Miti Mkoa wa Dar es Salaam.Akizungumza na...
View ArticleDiamond Ataja Bei ya Kuuza Page yake ya Instagram Yenye Followers Milion 2
CHUMA BLOGAKIONGEA KUPITIA KITUO CHA TELEVISION CHA CLOUDS TV KUPITIA KIPINDI CHA SHILAWADU ,ALIULIZWA SWALI KUHUSU GHARAMA YA PAGE YAKE KAMA AKITAKA KUIUZA..BILA KUTAFUNA MANENO DIAMOND ALISEMA PAGE...
View ArticlePicha : Wenzi mbilikimo waliozaa "Mbilikimo" maradufu Uingereza wafunga ndoa.
CHUMA BLOGSI mbilikimo tu..!! Bali Laura Whitfield (26) mwenye urefu wa futi 4 na nchi 2 pekee,ni Mwenza wa Nathan Phillips (37) mwenye urefu wa futi 3 na na nchi 11. Raia hao wa Uingereza...
View ArticleMakala : Oparesheni Entebbe, Steringi Alifia Uwanja Wa Mapambano
CHUMA BLOG Air France.Juni 27, 1976 ndege ya Ufaransa ‘Air France Flight 139’ ikiwa na abiria 248 ndani yake ilitekwa na magaidi wanne. Ambao walikuwa Wapalestina 2 na Wajerumani 2 baada ya kutua...
View ArticleWema Sepetu Amkataa Idriss Sultan Mchana Kweupeee Pee
CHUMA BLOGWema amkataa Idriss Mchana kweupeee pee!!!!!Ashasema hataki kuwa nae sasa nyie endeleeni kupost ohh shem shem sijui kamuoa dada yenu au???? Watabaki kuwa marafiki kama zamani tuuuu...wema so...
View ArticleSimba : Mavugo Adai Hukumu ya Yanga Imefika Leo
CHUMA BLOG Kikosi cha timu ya Simba.AKIWAKOSA MAVUGOKocha Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja, amesema safu yao ya ushambuliaji ipo vizuri na akishindwa kufunga Laudit Mavugo basi Ibrahim Ajibu...
View ArticleYanga : Pigo Moja Simba Chali Taifa, Cannavaro Nikipangwa Wameisha
CHUMA BLOGKikosi cha timu ya Yanga.Pluijm alisema anataka ushindi ili kupunguza tofauti ya pointi kati yao na Simba kwani wapinzani wao wapo kileleni na pointi 16 wakati wao wapo nafasi ya tatu na...
View ArticleRwanda Yanunua Ndege Ya Kisasa Ya Airbus
CHUMA BLOG Ndege aina ya Airbus A300-200 iliyonunuliwa na Shirika la ndege la Rwanda, Rwandair.Ndege hiyo ikimwagiwa maji kama ishara ya kupokelewa.Viongozi mbalimbali wakiwa nje ya ndege...
View ArticleLIVE UPDATES: Simba 1 vs Yanga 1 Kutoka Uwanja Wa Taifa
CHUMA BLOGDakika ya 46 mpira umeanza, mabadiliko yanafanywa ambapo Kelvin Yondani anaenda benchi na nafasi yake kuchukuliwa na Dante.Dakika ya 45 mwamuzi Martin Sanya anapiga filimbi kuashiria mpira ni...
View ArticleAbdul Kiba Ampa Ujauzito Denti Na Kukataa
CHUMA BLOG NasraDAR ES SAALAM: Nasra Salum (19) ambaye ni mwanafunzi wakidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Isqama Islamic Academy iliyopo Oman, amedai kuwa msanii wa Bongo Fleva, Abdul Salehe...
View ArticleWaziri Mkuu aeleza mikakata ya serikali kuipanga Dodoma isiwe kama Dar es...
CHUMA BLOGWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda timu ya wataalamu ambao watatoa ushauri juu ya suala zima la kuhamishia makao makuu Dodoma. Ametoa kauli hiyo jana mchana (Jumamosi,...
View ArticleAMIRI JESHI MKUU RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOFUNGA MAFUNZO YA MEDANI YA KIJESHI
CHUMA BLOGAmiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini katika kitabu cha wageniAmiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleGari Mpya Alilonunua Mchezaji Mbwana Samatta Huku Ubelgiji
CHUMA BLOGNahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta ametumia kiasi cha milioni 130 kununua gari yake ya kwanza nchini Ubelgiji.Gari hilo alilonunua mchezaji huyo ni Benz Cla220 Cdi AMG Sport...
View Article