Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

BREAKING News : Wafanyabiashara Wa Soko Kuu Morogoro wafunga njia Tatu Kuu

$
0
0
CHUMA BLOG

Soko kuu la mjini Morogoro lenye Miaka 63


Maeneo ya Runa  Morogoro, wafanya biashara wamefunga njia tatu kuu za mjini Hapo akuna kupita Gari wala Pikipiki, Kwa shindikizo la kukosa sehemu ya kenda kufanyia biashara baada ya atua ya manspaa ya Morogoro Mjini kuitaji kubomolewa kwa Soko hilo kupisha ujezi wa jengo jipya. 

 PATA KUSIKILIZA MAOJIANA NA SHUHUDA


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles