$ 0 0 CHUMA BLOGMsanii Raymond amesema nyimbo ya salome aliyofanya na diamond imempa umaarufu maradufu na sasa anapigiwa simu kutoka sehemu mbalimbali duniani akiombwa afanye kolaboaesema amepigiwa simu kutoka marekani, italia, india na kwingineko wakitaka kolabo Video: