Bomoa Bomoa ya Soko kuu Morogoro, Wananchi waitumia fursa kujipatia kipato
CHUMA BLOG Soko kuu la Morogoro kabla halijabomolewa Kufuatia zoezi la ubomoaji ili kupisha ujenzi wa Soko jipya la mkoa wa Morogoro, kumetoa fursa kwa baadhi ya wakazi wa Morogoro kuitumia nafasi hiyo...
View ArticleKinazidi Kunuka Kati ya Baraka Da Prince na Stan Bakora..Stan Amjibu Baraka...
CHUMA BLOGUnaambiwa utani ni Mzuri ila Utani ukiwa wa Ukweli sana Unauma na Ukimuuma aliyetaniwa akikosa Kifua tu cha kujizuia, Ugomvi anaweza akakuzulia.Tunajua kabisa kwamba barakah The Prince ni...
View ArticleALINIPA PENZI ILI NIMUINGIZE KAZINI, IMEBUMA, ANATISHIA KUJA KAZINI KUHARIBU...
CHUMA BLOGNawasalim wote katika bwanaWapendwa, yupo msichana mmoja, alimaliza chuo mwaka jana, anakaa mtaa wa nyuma yetu, anatufaham sana mm na mke wangu, lakini zaidi ya yote tunaabudu pamoja, yaani...
View ArticleKAMPUNI YA KITANZANIA KUUNDA GARI LA KWANZA DESEMBA 2016: Wapanga kulizindua...
CHUMA BLOGKAMPUNI ya Simba Motors imesema ina mpango wa kujenga kiwanda cha kuunganisha magari aina ya pick-up ambacho kitaanza kuzalisha magari kabla ya Desemba 30, mwaka huu.Ahadi hiyo imetolewa leo...
View ArticleMama Janeth Magufuli Ahudhuria Msiba Wa Shemeji Yake kikwete
CHUMA BLOGMke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu Jakaya Mrisho...
View ArticleAli Kiba Kushushwa Jukwaani Show ya Mombasa Kubakia na Malalamiko Upande Wa Pili
CHUMA BLOG Mwanamuziki Ali Kiba kushushwa Jukwaani kwenye show ya Mombasa ili Chriss Brown apande jukwaani kuimba jana lilichukua sura mpya baada ya Video kutoka Ali Kiba akiongea kuhusu hilo na...
View ArticleRaymond: Nyimbo ya Salome Imenipa Kiki Kubwa Sana Natafutwa Dunia Nzima...
CHUMA BLOGMsanii Raymond amesema nyimbo ya salome aliyofanya na diamond imempa umaarufu maradufu na sasa anapigiwa simu kutoka sehemu mbalimbali duniani akiombwa afanye kolaboaesema amepigiwa simu...
View ArticleSerikali Yakiri uhaba wa Dawa hospitalini
CHUMA BLOGMakamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amekiri kuwapo uhaba wa dawa na vifaa tiba katika hospitali za Serikali nchini.Amesema uhaba huo wa dawa ni changamoto ya muda mfupi na Serikali...
View ArticleAlikiba Hivi Hana Timu ya Kuhakikisha Kila Kitu Kipo Sawa?
CHUMA BLOGUle usemi wa kwenye miti hakuna wajenzi nimeliona kwenye hiyo Show ya Mombasa hasa baada ya Ali Kiba kuhojiwa na kipindi cha Mseto... kwa kweli huyu msanii anahitaji Management. Anajisikia...
View ArticleDiamond Ndiye Msanii Tajiri zaidi Kwa Sasa Africa Mashariki
CHUMA BLOGJarida la Forbes la nchini marekani limetoa wasanii matajiri zaidi duniani ,Africa na kanda mbali mbali ambapo kwa upande wa Africa mashariki.Diamond platinum ameongoza kwa kuwa na utajiri wa...
View ArticleMaalim Seif Aziandikia Barua Benki Zote Nchini Kupinga Profesa Lipumba...
CHUMA BLOGKatibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amemdhibiti mwenyekiti anayetambulika na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Profesa Ibrahim Lipumba kwa kuandika barua kwa...
View ArticleRais Magufuli afuta safari za viongozi wa serikali kwenda kupokea...
CHUMA BLOGRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza viongozi wote wa Serikali walioalikwa kuhudhuria sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa...
View ArticleWalinzi wa Chriss Brown Ndio Waliomzimia Microphone Ali Kiba Alipokuwa...
CHUMA BLOGTanzanian artiste Ali Kiba found himself swimming in murky waters when he appeared late for his performance at the Mombasa Rocks Festival held at the Mombasa Golf Club last Saturday. The...
View ArticleHizi Ndio Dawa za Hospitalini zinazoua Nguvu za Kiume
CHUMA BLOGDawa zote zinazopatikana mahospitalini na maduka ya madawa zinaletwa kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali, japokua baadhi ya dawa hizo huambatana na madhara madogo na makubwa kwenye mwili...
View ArticleBeny Kinyaiya Afungukia Ishu Ya Ushoga, Awaanika Wanaye
CHUMA BLOG Mtangazaji maarufu wa kituo cha runinga, Beny Kinyaiya.MAKALA: HASHIM AZIZWengi wanamfahamu kupitia shoo zake za runinga zilizompa umaarufu mkubwa, zikiwemo Afro Beats alipokuwa East Africa...
View ArticleTanzia: Aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam Dk. Didas Masaburi afariki...
CHUMA BLOGMeya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi amefikwa na umauti jana majira ya saa tatu na nusu usiku katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa.Taarifa za kifo...
View ArticleNauli Za ATCL Zitakazotumika Kuanzia Oktoba 14 Hadi 28
CHUMA BLOGNdege mbili mpya za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombardier Q400 zinatarajia kuanza kazi wakazi wa mikoa ya Mwanza, Arusha na Zanzibar watakuwa wa kwanza kupata ofa.Ofisa Habari...
View ArticleAUDIO : Wachina wakamatwa Mtwara, wakutwa wakibadili Expire date kwenye dawa
CHUMA BLOGWatu watano wakiwemo raia wawili wa China na Watanzania watatu wamekamatwa Mtwara kwa kutuhumiwa kubadili tarehe zilizokwisha muda wa matumizi kwenye dawa za kilimo (expire date) ili dawa...
View Article