Maafa Tena Kagera: Ugali wa Sumu Waua Mama na Watoto Wanne
CHUMA BLOGMAMA na watoto wake wanne wamefariki dunia katika Kijiji cha Kyebitembe wilayani Muleba mkoani Kagera, baada ya kula ugali unaosadikiwa kuwa na sumu.Waliofariki dunia ni Julitha Julius (35),...
View ArticleMajibu ya Daktari: Kijana Said Ally Aliyetobolewa Macho Na Scorpion Hawezi...
CHUMA BLOGNa Dotto MwaibaleMAJONZI na vilio vilitawala ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati Kijna Said Mrisho anayedaiwa kujeruhiwa na kutobolewa macho na Salumu Henjelewe...
View ArticleSnura - Chura (Official Video)
CHUMA BLOG Baada ya video yake ya kwanza ya Chura kufutwa katika tasnia ya burudani nchini kutokana na kutokuwa na maadili ya kitanzania, hatimaye mwana dada Snurah , amekuletea video nyingine ya wimbo...
View ArticleRais Magufuli Mgeni Rasmi Kwenye Sherehe Za Mabohora Kuadhimisha Mwaka Mpya...
CHUMA BLOGRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 08 Oktoba, 2016 amehutubia katika tamasha la madhehebu ya Bohora ambayo yanafanya maadhimisho ya dunia ya sikukuu...
View ArticleAina Kumi Za Waume Ambao Wake Zao Wanakereka Kuwa Nao
CHUMA BLOGKila ndoa inachangamoto zake na maana halisi ya ndoa ni ule uwezo wa wanandoa kuvumiliana katika changamoto hizo. Kuna changamoto za kimungu ambazo wanandoa hawawezi kuziepuka lakini kuna...
View ArticleSababu kifo cha Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Dodoma
CHUMA BLOGMashuhuda wa ajali iliyosababisha kifo cha Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dodoma, Salome Kiwaya wamesema alikufa kutokana na kushindwa kupewa msaada kwa...
View ArticleZitto Kabwe : CCM imechanganyikiwa
CHUMA BLOGKIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimechanganyikiwa na sasa kimepoteza mwelekeo wa kutatua matatizo makubwa yanayoikumba Tanzania hivi...
View ArticleMbunge wa Budalang’i nchini Kenya Asimulia Jinsi Rais Magufuli alivyoiteka...
CHUMA BLOGMbunge wa Budalang’i nchini Kenya, Ababu Namwamba amesema Rais John Magufuli anavuma kwa umashuhuri nchini humo akitajwa kwa namna anavyopambana na ufisadi na kubana matumizi ya Serikali,...
View ArticleKIAMA CHA WENYE VYETI FEKI: NECTA KUANZIA KESHO KUTUA HADI MAENEO YA VITUO...
CHUMA BLOGHatua ya Baraza la Mitihani nchini (Necta) kutoa ratiba ya kufanya uhakiki wa vyeti vya kidato cha nne, sita na ualimu kwa watumishi wote wa umma sasa ni wazi imezidi kupandisha joto kwa...
View ArticleMWANAFUNZI WA CHUO CHA CDTI ALIYETAKA MWAMUNYANGE APINDUE NCHI ASHINDA KESI
CHUMA BLOGMwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii (CDTI) cha mkoani Arusha, Allan Mbando, ameibwaga Serikali katika kesi ya kudaiwa kusambaza ujumbe kupitia Mtandao wa Facebook...
View ArticleDk. Masaburi Alazwa Hospitali Muhimbili
CHUMA BLOGDk. Didas Masaburi.ALIYEKUWA Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).Masaburi amelazwa hospitalini hapo akipatiwa matibabu,...
View ArticleWanaofanya Biashara Kienyeji Bila Kujisajili BRELA wapewa miezi miwili...
CHUMA BLOGWakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umetoa muda wa miezi miwili kwa wafanyabiashara wanaotumia majina ya biashara pasipo kusajiliwa wafanye hivyo haraka.Akizungumza na waandishi...
View ArticleSimba, Yanga, Ruksa Uwanja wa Uhuru
CHUMA BLOGBodi ya ligi Tanzania imethibitisha timu za Simba na Yanga zitautumia uwanja wa Uhuru kwa mechi zao za nyumbani baada ya serikali kuzizuia kuutumia uwanja wa taifa kama uwanja wao wa nyumbani...
View ArticleNahitaji kumuua Young D wa zamani- Young D
CHUMA BLOGRapa Young Dar es Salaam alimaarufu kama Young D amesema kwamba huu ni wakati wake kumuua yule Young D wa zamani na kurudi kivingine akiwa na mtazamo mpya vichwani mwa watu na mashabiki...
View ArticleMadawa Ya Kutibu Maradhi Ya Binadamu Yamwaga Ubungo
CHUMA BLOGMkurugenzi wa Mansipaa ya Ubungo, John L. Kayombo.…Mkurugenzi akisisitiza jambo.…Sehemu ya madawa hayo yaliyomwaga.DAR ES SAALAM: Kampuni ya Indepth Scientific inayojihusisha na usambazaji wa...
View ArticleRais Magufuli Apokea Hati Za Utambulisho Kutoka Kwa Mabalozi Wa Nchi...
CHUMA BLOGRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 10 Oktoba, 2016 amepokea hati za utambulisho za mabalozi wanne wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini.Mabalozi...
View ArticleWazungu wanne wakamatwa na miwani ya kuchungulia "maumbile" watu
CHUMA BLOG Vijana wanaojiita sungusungu wakiwa na hasira kwenye mtaa wa sakina hapa mkoani Arusha imewatia nguvuni na kuwaweka chini ya ulinzi mkali wazungu 4 ambao uraia wao bao haujatambulia kwa kile...
View ArticleJibu la Martin Kadinda baada ya kuulizwa na shabiki kama Wema anatumia Madawa...
CHUMA BLOGKuanzia wiki iliyopita kumekuwa na tetesi ambazo zinasambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii zikidai kwamba malkia wa filamu, Wema Sepetu anatumia Madawa ya kulevya ‘Unga’.Tetesisi hiyo...
View ArticleAlikiba Aweka Wazi Kilichosababisha Akatize Show Yake, Meneja Wa Diamond...
CHUMA BLOGAlikiba Aweka Wazi Kilichosababisha Akatize Show Yake, Pia Asema Haelewi Mbona Meneja Wa Diamond,Sallam Alikuwa Backstage Wakati Akiperform Chuma Empire
View Article