Hii ndo Sababu Inayomfanya Mwanamuziki Diamond Asishiriki Fiesta 2016
CHUMA BLOGHatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta 2016,Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm Diamond amesema kuwa ndoa (mkataba) yake na Kampuni ya Simu ya Vodacom ndio...
View ArticleCHADEMA Wazua Balaa Umeya wa Kinondoni
CHUMA BLOGWakati mchakato wa uchaguzi wa meya na naibu wake ukiendelea, suala la idadi ya madiwani wa viti maalumu wa Chadema katika Manispaa ya Kinondoni limeibua mvutano mpya kati ya chama hicho na...
View ArticleVideo : Living with Cancer: Niani & Xris’ Story (patient / caregiver)
CHUMA BLOGThe Candid Conversations about Cancer: Frank Talk; Real People video series provides patients guidance on both the emotional and practical aspects of coping with a cancer diagnosis. We hope...
View ArticlePicha : Scorpion ‘Mtoboa Macho’ Apandishwa Kizimbani
CHUMA BLOGScorpion.MKAZI wa Machimbo Yombo jijini Dar es Salaam, Salum Njwele (34) maarufu kama Scorpion, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashitaka ya unyang’anyi wa kutumia...
View ArticleMO Dewji aongoza orodha ya wafanyabiashara vijana 100 wanaosaidia kukuza...
CHUMA BLOGMkurugenzi Mtendaji na Rais wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Mohammed Dewji ‘MO’ ametajwa kushika nafasi ya kwanza na Taasisi ya Choiseul yenye makazi yake...
View ArticleMCHINA AFARIKI KWA KUKANDAMIZWA NA MTAMBO WA KUSHINDILIA LAMI ARUSHA
CHUMA BLOG Ujenzi wa barabara ya kuanzia Tengeru Arusha hadi Taveta Voi ya ukubwa wa km 234.3 iliyozinduliwa March 3 mwaka huu na Rais John Magufuli, wakati ujenzi ukiendelea kumetokea ajali ambapo...
View ArticleMkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma matatani.....Waziri Mkuu Majaliwa aagiza...
CHUMA BLOGWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bw. Jordan Rugimbana kuchunguza ni kwa nini Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma Bw Antonino Kilumbi amekwenda kutengeneza madawati...
View ArticleVideo: Walimu Warekodiwa Wakimfanyia Ukatili Wa Kutisha Mwanafunzi
CHUMA BLOGVideo hii ambayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii kuanzia leo alfajiri inawaonyesha walimu wakichangia kumpiga mwanafunzi mmoja ndani ya ofisi.Walimu hawa wanaonekana si tu wanampiga...
View ArticleRais Dkt. Magufuli Afungua Rasmi Kiwanda Cha Kusindika Matunda Cha Bakhressa...
CHUMA BLOG Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu.Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu...
View ArticleUBUYU : Mrembo Amber Lulu Adaiwa Kukamatwa na Madawa ya Kulevya..Marafiki...
CHUMA BLOGMwanadada mrembo ambae amejipatia umaarufu mkubwa siku za karibuni kwa kutokea katika videos kadhaa za Bongo Fleva Amber Lulu inasemekana kwamba yuko chini ya usimamizi wa polisi kwa siku ya...
View ArticleJeshi La Polisi Latoa Tamko Rasmi Kupigwa Mwanafunzi Wa Sekondari
CHUMA BLOGWAZIRI wa Mambo ya Ndani Nchini, Mwigulu Nchemba, ametoa tamko rasmi juu ya kitendo cha kupigwa kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu, Sebastian Chinguku wa shule ya sekondari Mbeya Day, na...
View ArticleAli Kiba Ataja Sababu iliyomfanya Asioe
CHUMA BLOGAlikiba ameitaja sababu iliyomfanya ashindwe kumuoa mwanamke yeyote kati ya watatu aliozaa nao.Hitmaker huyo wa Lupela alisema kuwa hakupenda kulazimisha iwe hivyo.“Unajua hauwezi kumuoa mtu...
View ArticleRais Magufuli Atangaza Kiama ... Asisitiza Hatojali Mtu
CHUMA BLOGRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amewataka watu wote nchini wanaohodhi mashamba makubwa na kutoyaendeleza wafanye hivyo ndani ya mwezi mmoja kabla hayawanyang’aya...
View ArticlePICHA :Eneo linalodaiwa kuwepo kwa volcano Kagera
CHUMA BLOG imeripotiwa habari ikitokea eneo la Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi Kagera ambapo wananchi wa bonde la Katarabuga wamepatwa na taharuki baada ya kuibuka moto ardhini wakidhani...
View ArticlePICHA : Kijana Aliyeota Mkia Mgongoni Afanyiwa Upasuaji....
CHUMA BLOGKijana mwenye mkia wa sentimita 20 uliyoota chini ya uti wa mgongo wake amefanyiwa upasuaji ili kuondoa mkia huo ambao Ulianza kujitokea katika mgongo wa kijana huyo mwenye miaka 18 baada ya...
View ArticleOfisi Ya Makao Makuu Ya Hifadhi Ya Serengeti Yateketea Kwa Moto Leo Jumamosi.
CHUMA BLOGChuma Empire
View ArticleJerry Muro arudi tena TBC kutangaza
CHUMA BLOGYule msemaji mkuu wa Yanga African hatimaye amerudi tena kwenye kazi yake ya utangazaji aliyokuwa akifanya hapo awali katika television ya Taifa.Chanzo: TBC Chuma Empire
View Article