Wema Sepetu Awashushua Wanaomsema Aunt na Zari
CHUMA BLOGSUPA-STAA Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, amefunguka kuwa anachukizwa na watu wanaomtolea matusi muigizaji mwenzake, Aunt Ezekiel, baada ya kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa ya mzazi mwenza wa Nasibu...
View ArticleBabu Tale Atoboa Siri ya Usambazaji wa Nyimbo za Wasafi Records
CHUMA BLOGWaziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, January Makamba wiki hii alitembelea ofisi za WCB na kuonyeshwa mambo mbalimbali ambayo yanafanyika katika kila...
View ArticleMeneja wa Alikiba Ajibu Tuhuma za Show ya Mombasa na za Kutunishiana na Wizkid
CHUMA BLOGAidan Charlie ambaye ni meneja msaidizi kutoka kwenye Menejimenti ya mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba ameongea kuhusu tuhuma mbalimbali zilizotolewa dhidi ya Alikiba kutokana na show ya...
View ArticleRais Magufuli Alivyoagana Na Kiongozi Mkuu Wa Bohora Duniani, Ikulu Jijini Dar
CHUMA BLOGJumuiya ya Madhehebu ya Dawoodi Bohra imetoa mchango wa Dola za Marekani laki mbili na nusu (Usd. 250,000) sawa na Shilingi Milioni Mia Tano Arobaini na Tano za Kitanzania (Ths. 545,000,000)...
View ArticleDiwani Chadema anaswa na dawa za kulevya, bunduki
CHUMA BLOGJeshi la Polisi Mkoani Rukwa linamshikilia Diwani wa kata ya Izira, Paschael Silimba (Chadema) baada ya kumkamata akiwa na dawa za kulevya aina ya bangi na bunduki moja aina ya gobole.Kamanda...
View ArticlePolisi Dar Yaua Majambazi Wanne Wanaodaiwa Kuwaua Askari Wanne Waliokuwa...
CHUMA BLOGKikosi Maalumu cha Kupambana na Ujambazi wa Kutumia Silaha cha Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kilifanikiwa kukamata watuhumiwa wanne wa ujambazi waliohusika katika mauaji ya...
View ArticleAliyeng'olewa Macho na Scorpion Aneemeka...Apewa Nyumba, Bodaboda 4, Bajaji...
CHUMA BLOGTangu mkazi mmoja wa Dar es Salaam Said Ally alivyoeleza namna alivyofanyiwa ukatili na kutobolewa macho yake mawili mbele ya umati wa watu katika eneo la Buguruni, watu wengi wamejitolea kwa...
View ArticleJE Ni Sahihi Kumlazimisha Mwanaume Akuoe?
CHUMA BLOGHabari zenu,Hivi ni sahihi pale uko na mpenzi wako yapita mwaka, miaka ajawahi kukuambia kuhusu ndoa au labda alikuhaidi kuja nyumbani lakini siku zayoyoma hakuna matokea yoyote je, ni sahihi...
View ArticleMWINYI: Nchi Haina Uadilifu Alioacha Mwalimu Nyerere
CHUMA BLOGWAKATI Tanzania leo ikiadhimisha kumbukumbu ya miaka 17 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amesema ana wasiwasi na...
View ArticleMkurugenzi Amgomea Waziri Mkuu
CHUMA BLOGAGIZO la Waziri Mkuu Majaliwa Kassim, kuwataka watendaji wa Serikali kutoa taarifa katika vyombo vya habari juu ya mipango ya maendeleo inayofanywa na serikali, limepuuzwa na Godwin Kunambi,...
View ArticleTCRA Yapiga Marufuku Uuzwaji wa Samsung Galaxy note 7 Hapa Nchini
CHUMA BLOGMAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku uingizaji na usambazaji wa simu za mkononi za Smartphone Samsung Galaxy note 7 kwa kuwa zina matatizo ya betri.TCRA pia imewataka...
View ArticleUTAFITI: Nairobi Imetajwa Kwenye Top 10 ya Majiji Yenye Foleni Zinazokera...
CHUMA BLOGWatu wangu wa Kenya hii inaweza kuwa taarifa mbaya kwao hasa wakazi wa jiji la Nairobi. Ni baada ya kutoka list ya majiji 10 yaliyotajwa kuwa na kiwango kikubwa na foleni za Magari ambazo...
View ArticleWandishi wa Mwananchi Wapata Ajali
CHUMA BLOGMwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi Mkoani Mwanza, Peter Saramba na Mpigapicha Michael Jamson wamepata ajali eneo la Kimbu B, Wilaya ya Bariadi wakiwa wanatoka Simiyu kwenye sherehe za...
View ArticlePicha : Msanii Tunda Man Afunga Ndoa Kimiya Kimiya Morogoro na Mtoto Wa Tajiri
CHUMA BLOGMsanii wa muziki kutoka Tip Top Connection, Tunda Man pamoja na mpenzi wake Sabra wa muda mrefu wamefanya ‘send-off’ wakijiandaa kuingia katika maisha ya ndoa.Alhamisi hii usiku zilisambaa...
View ArticleMajibu ya Chris Brown Kuhusu Kumvunjia Simu Shabiki Airport Mombasa
CHUMA BLOGMwimbaji staa kutoka Marekani Chris Brown October 8 2016 aliungana na wasanii wengine akiwemo Wizkid wa Nigeria, Vanessa Mdee, Alikiba na wengineo kutumbuiza kwenye tamasha la Mombasa Rocks...
View ArticleUsiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura Afukuzwe...
CHUMA BLOGLeo tunapomkumbuka Mwalimu, naombeni niwadokolee machache kumhusu mwalimu ambayo sidhani kama wengi mliyafahamu, na kama wapo ni yale waliyoyafahamu kwa kuyasikia tuu lakini hayajaandikwa...
View ArticleDamu Kusafirishwa na Ndege Zisizo na Rubani Rwanda
CHUMA BLODamu kusafirishwa na ndege zisizo na rubani Rwanda*Maeneo mengi ya Rwanda yana milima na misitu hivyo huwa vigumu kusafiri kwa kutumia barabaraHuduma ya kusafirisha damu na vifaa vingine vya...
View Article