Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Browsing all 2614 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majina Ya Wanafunzi Waliopata Mkopo Mwaka Wa Masomo 2016/2017----(Awamu ya...

CHUMA BLOGBodi ya mikopo ya elimu ya juu wametangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo 2016/2017 awamu ya kwanza.Hapa ni link ya kuangalia kama umepata au laah unaandika namba ya form 4 na code...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na...

CHUMA BLOGChief Nyerere Burito, center, with one of his 22 wives on his right and a guard on his left. Wakati tukiadhimisha miaka 17 ya TanzaniaTanzania bila Nyerere, kuna sisi baadhi yetu tuko kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha za Samaki Aina ya Nyangumi Aliyekufa Ufukweni Bahari ya Hindi Kilwa

CHUMA BLOGSamaki mkubwa amekutwa amekufa jana katika ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Bandari ya Kilwa, Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi.Wakazi wa eneo hilo wamesema kuwa samaki huyo alianza kuonekana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuwa Makini Na Simu Yako Ya Mkononi smartphone

Samahani kwa muonekano wa picha ila ni katika kuwatahadhalisha tu ndugu zangu kwa mtu yeyote anaye tumia simu aina ya Samsung smartphone basi awe makini sana inaweza kumlipukia wakati wowote japo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy Washinda Tuzo za Afrimma 2016

CHUMA BLOG  Utoaji wa tuzo za AFRIMMA kwa mwaka 2016 umefanyika Dallas, Marekani huku watanzania watatu, Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D Ommy wakiibuka na tuzo kila mmoja akipata tuzo moja.Diamond...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu ni Mdogo Wake Diamond Kweli? Wamefanana Kweli

CHUMA BLOGKijana anayedai ni mdogo wake diamond analalamika kaka yake amemtosa, sasa sijui kama ni mdogo wake kweli ila wanaongea sawa na wanafananaChuma Empire

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Upepo Mkali Waezua Nyumba 44 Musoma

CHUMA BLOGUpepo mkali ukiambatana na mvua umeezua nyumba 44 katika Kijiji cha Kiemba Kata ya Ifulifu, Wilaya ya Musoma mkoani Mara. Kati ya nyumba hizo, tano ziliathirika vibaya kiasi cha kusababisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwanini Imechukua Muda Mrefu Kwa Scorpion Kukamatwa na Jeshi la Polisi?

CHUMA BLOGSCORPION NA JESHI LETU LA POLISIPamoja na kwamba kijana aliyetobolewa macho kusaidiwa kujikimu maisha yake, kuna suala ambalo halipaswi kuachwa hivi. Suala hilo ni kuwajibishwa kwa polisi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyayo 400 za Binadamu wa Kale Zangunduliwa Bonde la Ol Doinyo Lengai

CHUMA BLOGWanasayansi wagundua nyayo 400 za binadamu wa kale katika tabaka la ardhi linalokadiriwa kuwa na miaka 19,000 eneo la Ol Doinyo Lengai, Arusha.Nyayo hizo ni za makundi mbalimbali ya watu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: Tukio la Kufunga Ndoa ya Tunda Man

CHUMA BLOG Tunda Man akimshika kichwani mkewe, Bi Sandra kama ishara ya salamu wakati wa ndoa hiyo. …Dogo Janja akiwa na shemeji yake. Madee akipiga picha ya kumbukumbu na shemeji yake.  …Picha ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siku 158 za Mabasi ya Mwendo Kasi...Hali ni Tete Yaamua Kupunguza Wafanyakazi

CHUMA BLOGWakati Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi Dar es Salaam (Dart) ukiwa umefikisha siku 158 tangu ulipozinduliwa Mei 10, kampuni inayouendesha imelazimika kupunguza wafanyakazi kutokana na gharama za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu aagiza mapato ya hospitali ya Nachingwea yakusanywe kwa njia ya...

CHUMA BLOGWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea, Bw. Bakari Mohammed kuhakikisha hospitali ya wilaya hiyo inakusanya mapato kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO OKTOBA 17

CHUMA BLOGUKChuma Empire

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA CHALINZE AKABIDHI MAGODORO 200 KWA SHULE YA MORETA

CHUMA BLOG Wanafunzi wa shule ya sekondari Moreto  iliyopo Lugoba wilayani Bagamoyo, Mwanahamis Msonde na Sekion Mponela wakimshukuru Mbunge wa jimbo la  Chalinze Ridhiwani  Kikwete na mwenyekiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Afande Aitolea Ufafanuzi Picha Aliyopiga na Makamu wa Rais Samia Baada ya...

CHUMA BLOGKitendo cha Afande Sele kupiga picha weekend hii akizungumza mbele ya Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan mkoani Morogoro, kiliibua tetesi katika mitandao ya kijamii zikidai huwenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Njemba Ala Kichapo ‘Hevi’ Mchana Kweupe Morogoro

CHUMA BLOGWananchi wenye hasira kali wakiendelea kumpa kijana huyo kijachapo.Wananchi wenye huruma wakimsadia kijana huyo baada ya kula kichapo.Baada ya kumuokoa kijana huyo baada ya kichapo.MOROGORO:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi Wajichukulia Sheria Mkononi Waua Mtu Mmoja Aliyedaiwa Kuwa Ni Panya...

CHUMA BLOGWANANCHI wa Mbagala sabasaba wamemuua kwa kumshambulia kwa mawe na kisha kumchoma moto kijana mmoja anayedaiwa kuwa ni mharifu wa kundi la panya road ambaye alikuwa na wenzake zaidi ya 15...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Orodha ya Marais 10 Kutoka Nchi za Afrika Wanaoongoza Kwa Kuwa na Kiwango...

CHUMA BLOGOrodha ya Marais 10 kutoka nchi za Afrika wanaoongoza kwa kuwa na kiwango kikubwa cha elimu.10) Ellen Johnson Sirleaf (Liberia)Elimu: Master of Public Administration (M.P.Adm.), Bachelor of...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mange Kimambi Aikosoa Ziara ya January Makamba Studio ya Wasafi Records, Adai...

CHUMA BLOGSiku kadhaa zilizopita Mh January Makamba alitembelea Studio ya Wasafi inayomilikiwa na Msanii Diamond Platnumz, Watu mbali mbali wametoa maoni yao akiwemo na Mange Kimambi ambaye ameandika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanafunzi Adai Alijifunza Kulawitiwa Toka Kwa Wazazi Wake

CHUMA BLOGWananchi mbalimbali wa mjini hapa mkoani Kilimanjaro, wakiwamo wasomi na viongozi wa dini, wametaka uchunguzi wa watoto wadogo kudhalilishwa kingono ufanyike katika shule zote za msingi.Hoja...

View Article
Browsing all 2614 articles
Browse latest View live