CHUMA BLOG
Chief Nyerere Burito, center, with one of his 22 wives on his right and a guard on his left.
Wakati tukiadhimisha miaka 17 ya TanzaniaTanzania bila Nyerere, kuna sisi baadhi yetu tuko kama Tomaso, tuna shauku ya jua tuu na wala sio kwa lengo baya.
Watoto wengine wa Chifu Burito kwa wake zake wengine 21 ni kina nani? . Kizungu ni half brothers and sisters lakini kiafrika ni Kaka zake na dada zake kabisa!
Nimemsikia mmoja tuu akitajwa Chief Edward Wanzagi. Ndugu wengine wa Julius Kambarage Nyerere kwa baba ni kina nani?
Au tuelezwe tuu kuwa Chifu Burito alibahatika kupata watoto na mkewe No.5 pekee, Mama Christina Mugaya wa Nyang'ombe, lakini wake zake wengine wale 21, hawakubahatika kumzalia watoto?.
Nimesaka maandishi mengi lakini sikufanikiwa kuambulia kitu.
Kwenye From Butiama and beyond...: Chief Nyerere Burito's 70th death anniversary Nimefanikiwa kupata angalau picha
Chief Nyerere Burito's 70th death anniversary
Today is the 70th death anniversary of the death of Chief Nyerere Burito who ruled between 1912 and 1942
He was the leader for the Zanaki of Butiama during German and British colonial rule.
He is the father of Tanzania's founding president, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu's mother, Christina Mgaya wa Nyang'ombe was the fifth of Chief Nyerere Burito's 22 wives.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tumezalisha mabingwa wa historia tangu 1962 lakini hakuna historia yoyote ya Chief Burito, alitokea wapi, wake ni 22 lakini watoto ni wangapi zaidi ya watoto wa mke wa 5 pekee? .
Haiwezekani watu tuijue historian ya Mkwawa Shujaa iliyoandikwa na Wajerumani tukashindwa kuijua Historia ya Chifu muhimu kama Burito! .
![[IMG]](http://www.jamiiforums.com/proxy.php?image=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-5NjkAX3-VQk%2FT3TYhdkrHEI%2FAAAAAAAABl8%2Fes2pnz2AF68%2Fs640%2FDSC05091-2-768637.jpg&hash=7ddb42e2bd770f4fd5aaf82fbe5be49d)