Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

TOKA BUNGENI MATUKIO DODOMA

$
0
0
CHUMA BLOG

 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangala (kulia) akisalimiana na matabibu wa dawa za asili mjini Dodoma.
 Wabunge wa Kambi ya Upinzani wakijadiliana jambo bungeni Dodoma
 Mbunge wa jimbo la Pangani, Jumaa Aweso (kushoto) akijadiliana jambo na mbunge mwenzie
 Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Bulembo (CCM), akichangia hoja kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016/2017 bungeni Dodoma, hasa jinsi ya kuwawezesha vijana nchini
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya wabunge
 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya kupitia Chadema, Sophia Mwakagenda (kulia) akijadliana jambo na mbunge mwenzie
 Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lisu (Chadema), akichangia hoja bungeni, ambapo alihoji watu wasio husika kuwaweka kwenye makumbusho ya mashujaa nchini.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles