Diamond Platnumz na Mohombi Kuja na Kolabo
CHUMA BLOGTuzo za MTV MAMA huwakutanisha wasanii wengi wa Afrika kwa wakati mmoja. Si kila anayehudhuria huwa ametajwa kuwania tuzo, bali wengine huenda kwaajili ya kutafuta connection.Na wengine...
View ArticleMABALOZI WA USALAMA BARABARANI ARUSHA WAMSHANGAZA KAMANDA MPINGA
CHUMA BLOG Kamanda Mohamed Mpinga akikagua "Birthday Surprise Cake " aliyopewa na Mwenyekiti wa RSA -Arusha Bi. Stella Rutaguza katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa...
View ArticleUkweli Kuhusu Degree ya Miss Tanzania Mpya
CHUMA BLOGKatika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii Video ya Miss Tanzania. Kipindi ambapo anatafutwa miss kinondoni. Ni kweli alisema ana miaka 18 lakin hakusema kuwa ana degree. Zaid...
View ArticlePICHA : Basi La Abiria Lateketea Kwa Moto Kimara Stop Over Jijini...
CHUMA BLOGBasi lenye namba za usajili T990 AQF mali ya kampuni ya Safari Njema liililokuwa likitokea Dodoma kuja jijini Dar, jana liliteketea kwa Moto maeneo ya Kimara Stop Over-Suka, mara baada ya...
View ArticleShow ya Diamond Malawi Yafana Licha ya Mvua Kubwa Kunyesha
CHUMA BLOGLicha ya mvua kubwa kunyesha, Diamond amefanikiwa kupiga show iliyofana kwenye Sand Music Festival iliyofanyika kwenye fukwe za Living stone Jumamosi hii.Mpiga picha wake, Kifesi amedai kuwa...
View ArticleHuu Utajiri wa Donald Trump ni Kufuru Tupu
CHUMA BLOGDONALD TRUMP JOHN alizaliwa 14 Juni 1946 huko Jamaica Estates, Queens akiwa ni mtoto wa pipi kwenye familia ya watoto wanne wa familia ya Mary na Fred Trump na kukulia katika Jiji la New...
View ArticleTazama Video Fupi Aliyofanya Miss Tanzania Huko Umasaini Kuhusu Ukeketaji wa...
CHUMA BLOGKwa wasichana wengi wanaoshiriki shindano la Miss Tanzania, ushindi huja kwa surprise na muda mfupi kugubikwa na matarajio makubwa kutoka kwenye jamii.Lakini si kwa Miss Tanzania 2016, Diana...
View ArticleBREAKING NYUZZZZZ.....: BONDIA THOMAS MASHARI AFARIKI DUNIA
CHUMA BLOGBondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali, hatunaye.Taarifa zinaeleza ameuwawa kwa kupigwa risasi na mwili wake kuokotwa vichakani maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaam, usiku...
View ArticleWADAU WA UJENZI WAKAGUA UWANJA WA KIMATAIFA WA MWL. JULIUS NYERERE (TB III)
CHUMA BLOG Mkurugenzi wa Mradi wa ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria (TB III), Eng. Mohamedi Milanga akifafanua jambo kwa ujumbe maalum wa wadau wa ujenzi walipokagua hatua za ujenzi wa jengo hilo....
View ArticleTaarifa Kutoka Ikulu: Rais Magufuli na Rais Kenyatta Wazindua Barabara ya...
CHUMA BLOGRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo tarehe 01 Novemba, 2016 wamezindua barabara ya Southern By-pass...
View ArticleTaarifa Kuhusu Taharuki ya Moto Uliolipuka Kwenye Bandari ya Dar es salaam
CHUMA BLOGJana Nov 1 2016 katika Bandari ya Dar es salaam kulitokea moto ambao ulizua taharuki kwa baadhi ya wafanyakazi na watu wengine waliokuwa eneo hilo la bandari.Moto huo ulilipuka kwenye...
View ArticleWema Sepetu Amehairisha Kuondoka Instagram Adai 'Toka Lini Mwenye Nyumba...
CHUMA BLOGWema Sepetu Haendi Mahali soma hapa akimwaga povuuuu!!!! Ameandika Haya Kwenye Ukurasa wake wa Instagram baada ya mwanzo kudai ameamua kupumzika Instagram:WemasepetuLife has got to Go on.......
View ArticleGodbless Lema Aliteka Bunge..Adai Waziri Alimshauri Wafanye Fujo Arusha ili...
CHUMA BLOGGODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini amesema kwamba, alishauriwa na George Simbachawene, Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuwa, amfungie ofisini...
View ArticleKuisoma Namba: Mali za Kampuni ya Mohamed Trans (Yakiwemo Mabasi) Kupigwa...
CHUMA BLOGMali za kampuni ya Mohamed Trans Limited zitapigwa mnada na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) baada ya kushindwa kulipa limbikizo lake la kodi analodaiwa.Kampuni hiyo pamoja na mali nyingine,...
View ArticleMahakama Yamtia Hatiani Lady Jaydee, Yamwamuru Amuombe Radhi Ruge wa Clouds...
CHUMA BLOGMahakama ya Wilaya ya Kinondoni imemkuta na hatia mwanamuziki Judith Wambura maarufu Lady Jaydee kumkashifu Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga pamoja na Mkurugenzi wa...
View ArticleScorpion Apandishwa Tena Kizimbani
CHUMA BLOGKWA mara ya nne , Salum Njwete ‘Scorpion’ ambaye anadaiwa kumtoboa macho Said Ally amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar na kesi yake kusogezwa mbele.Scorpion...
View ArticleTOKA BUNGENI MATUKIO DODOMA
CHUMA BLOG Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangala (kulia) akisalimiana na matabibu wa dawa za asili mjini Dodoma. Wabunge wa Kambi ya Upinzani...
View Article