Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Milionea Anayelipa Bilioni 20 kwa Ajili ya Plate Number ya Gari

$
0
0
CHUMA BLOG
indianmanbuysplateno%249million

MILIONEA mmoja raia wa India, Balwinder Sahni huilipa Serikali ya Dubai dola milioni 9 sawa na Tsh. Bilioni 19.617 kila mwaka kwa ajili ya kulipia leseni ya  Plate Number (special number) ya gari lake ambalo lina namba moja tu.
dubaimillionaire%249millionplateno2
Balwinder Sahni ambaye anafanya biashara zake nchini Dubai hutumia gharama hiyo kulipia ili aendelee kuimiliki plate number ya moja ya magari yake 6 aina ya Rolls Royce.

dubaimillionaire%249millionplateno
Balwinder Sahni, ambaye anamiliki mali nyingi mjini humo ameiambia CNN kuwa, anaipenda sana plate number yake hiyokwani inamsaidia kumtangaza hivyo kumrahisishia na kumuongezea watu wengi ambao humtafuta ili kufanya naye biashara.
%249millionplatenumberdubai
Pia husikitishwa na watu wanaomshutumu kuwa anatumia pesa zake vibaya.
“Ni vigumu, watu wanasema bila kufahamu mimi ni nani. Mimi ni mtu wa kawaida tu.” Sahni aliiambia CNN Money.
indianmandubai


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles