Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

YALIOJILI KATIKA MAZISHI YA MKE WA AFANDE SELE

$
0
0
TUMA TUKIO LOLOTE KATIKA MAIL/ salimmore@yahoo.com au WHATSAPP NO: +255712222244
 Afande Sele, Prof J,  MC Koba wakimlilia Mama Tunda

 Afande Sele,Prof J wakihojiwa na Mtandao huu,[kati] ni mtoto wa Afande Sele Asantesanaa[4]
 lnauma sana Tunda[kulia] ambaye anasoma moja ya shule za sekondari Jijini Dar amewasili jioni hii mkoani hapa na Sale za shule baada ya kupokea taarifa za kifo cha mama yake akiwa njiani kuelekea shule
 Rais wa Shirikisho la wasanii wa filam nchini'TAFF' Saimon Mwakifwamba[kati] akimfariji Afande Sele, anayeshuhudia tukio hilo ni Ahmed Machaku
 Mwakifwamba akiteta na Afande Sele
  Mblog,Ahmed Machaku akimfariji Afande Sele
 Kada wa UVCCM Manispaa ya Moro Hozza akimfariji Afande Sele.
 Kigogo wa bongo Movie mkoa wa Moro,Chediel Senzighe[MC Mabwangaa]kulia akiwasili eneo la msiba na Rais wake Mwakifwamba [kati]na [kushoto] ni mtoto wa mujini Asha Manga

 Pedeshee wa kike mkoan Morogoro Lukia mwanambago naye alikuwepo kwenye msiba huo
 Asantesanaa ambaye mtoto wa mwisho wa marehem Asha Mohamed'Mama Tunda'
 Tunda ambaye ni mtoto wa kwanza wa marehemuakiwa na simani la kuondokewa na mpendwa mama yake
 Afande Sele akijikaza kuweka udongo kwenye kaburi la mpendwa mama wawatoto wake
 Akiangulia kilio baada ya kuweka udomngo huo
               Jikoni mishe mishe zilikuwa hivi
 Bi,Amina Rajab Sululu ambaye ni mama mzazi wa marehem akihojiwa na Mtandao huu
Baba mzazi wa marehem Bw Mohamed Rajab Shiengo ambaye ni makamo mkuu wa chuo cha Mipango Fedha na Uchumi Kilichopo Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani akihojiwa na Mwandishi wa habari hizi.
PICHA ZOTE NA DUSTAN SHEKIDELE
 RAIS wa 'T.A.F.F' Nchini Saimon Mwakifwamba leo jioni ameongoza mamia ya wananchi wa mkoa wa Morogoro kumzika mke wa msanii mkonwe wa bongofleva nchini Seleman Msindi' Afande Sele.
 Mazishi ya marehemu huyo Asha Shiengo'Mama Tunda'[34] aliyekufa ghafla jana majira ya saa 4 usiku katika hospital ya rufaa ya mkoa wa morogoro alisumbuliwa na Ugonjwa wa Malaria amezikwa jioni hii katika Makabuli ya Kolla Manispaa ya Morogoro

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles