↧
Siri ya Mama Diamond Kutoka na Muarabu Yafichuka....
↧
AUDIO : Diamond Platnumz - Wao Wakipost Tembo Si tunaposti Show
↧
↧
AUDIO : Dj-Maphorisa Ft. Vannesa Mdee & Yanga – Bea leme Huh
CHUMA BLOG

↧
Magazeti ya Leo Jumatatu Ya Octoba 3
↧
Brown Mauzo Wakenya wengi wanajua mi ni Mtanzania
CHUMA BLOG
Brown Mauzo ambaye awali alikuwa akiishi Mombasa kwa sasa amehamishia makazi yake jijini Nairobi. Aliwahi kufanya kolabo Bongo na mastaa kibao wakiwemo, Rich Mavoko na Bob Junior.

Brown Mauzo.
“Hizo maneno ndiyo kwanza nazisikia huku TZ, Kiba ninavyomjua ni mtu poa sana. Uongozi wangu na wake ulikutana na kufanya naye mazungumzo ya kolabo akakubali na kusema kuwa nina kipaji kikubwa sana,” alisema Brown Mauzo.Brown Mauzo ambaye awali alikuwa akiishi Mombasa kwa sasa amehamishia makazi yake jijini Nairobi. Aliwahi kufanya kolabo Bongo na mastaa kibao wakiwemo, Rich Mavoko na Bob Junior.
↧
↧
Unyama wa Kutisha: Watafiti Watatu toka Chuo cha Selian Wauawa na Wananchi Kwa Kuchomwa Moto Wakidhaniwa ni Wanyonya Damu
CHUMA BLOG
Yowe ya kuvamiwa na wanyonya damu , iliyopigwa na wanawake waliokuwa wakichimba chumvi katika Kijiji cha Iringa-Mvumi wilayani Chamwino, Mkoa wa Dodoma ndiyo iliyosababisha kuuawa kwa watafiti wa Chuo cha Utafiti wa Udongo na Maendeleo ya Ardhi cha Selian mkoani Arusha.
Watafiti hao waliuawa juzi kwa kukatwa katwa mapanga na minde, kisha kuchomwa moto. Gari la Serikali aina ya Toyota Hillux, pia lilichomwa moto.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba wanawashikilia watu kadhaa akiwamo mwenyekiti wa kijiji.
Alisema mwenyekiti wa kitongoji alipigiwa simu na mmoja wa wanawake waliokuwa eneo la tukio kwamba kuna wanyonya damu wamevamia kijiji.
Mambosasa alisema kwa kuwa mwenyekiti huyo alikuwa mbali, alimpigia simu mwenyekiti wa kijiji aende eneo la tukio kujua kilichotokea. Alisema mwenyekiti wa kijiji alipofika hakuamini maelezo ya watafiti hao na kuanza kuwashambulia.
Mambosasa alisema mtu mwingine alikwenda kijijini na kumueleza mchungaji wa kanisa kuhusu kijiji kuvamiwa na nyonya damu, naye akatagaza kwenye kipaza sauti kwamba kijiji kimevamia na watu hao.
Alisema wanakijiji walijitokeza kwenda eneo la tukio na kuwashambulia watafiti hao hadi kufa.
Mkuu wa Mkoa, Jordan Rugimbana alisema baada ya kutembelea eneo la tukio, ameamua kuwasimamisha kazi kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya Chamwino na ofisa utumishi wa wilaya hiyo kwa madai ya kutosambaza barua za kuwatambulisha watafiti hao katika maeneo waliyokwenda kufanya kazi.
Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Simon Kawea alisema taarifa alizozipata kutoka kwa diwani wa kata ya Iringa-Mvumi, watafiti hao walipofika katika eneo la Makamwa walikutana na watu na kuwauliza kilipo kijiji cha Iringa-Mvumi.
Kawea alisema watafiti hao walipofika eneo walilotaka kufanya utafiti walipigiwa yowe kwamba ni wanyonya damu.
Alisema baada ya kelele zile wanakijiji waliokuwa katika mkutano walisikia na kutoka na mapanga na silaha za jadi kisha kuwavamia watafiti hao na kuwashambulia kwa silaha hizo.
“Hata walipoonyesha vielelezo wao si wezi bali ni watafiti waliopewa kibali na halmashauri ya Chamwino na vielelezo vingine, wanakijiji walikataa na kuendelea kuwapiga,” alisema.
Alisema watendaji wa kijiji hicho na diwani wa kata hiyo, Robert Chikole waliwasihi wanakijiji kuwaacha watafiti hao lakini walizidiwa nguvu na wananchi.
Aliongeza: “Hata polisi walifika muda mfupi, walikuta wameumizwa vibaya wakarusha risasi juu lakini walizidiwa nguvu na kukaa pembeni. Kwa kweli wamekufa katika tukio la kinyama,” alisema.
Alisema watafiti hao walikwenda katika ofisi za Wilaya ya Chamwino na kupata kibali kabla ya kwenda kijijini hapo kwa ajili ya kufanya utafiti wa udongo.
Alisema diwani, mtendaji na mwenyekiti wa kijiji wanashikiliwa na polisi kuhusiana na tukio hilo.
Habari kutoka kijijini hapo zinasema wanakijiji wamekimbia makazi yao kutokana na msako wa polisi kwenye eneo hilo.
Majonzi yatawala Arusha
Mauaji ya hayo yameibua simanzi katika taasisi ya Selian na familia zao, ikiwamo ya mkurugenzi wa taasisi hiyo, Dk January Mfuru ambaye mtoto wake pia ameuawa.
Mtoto huyo, Faraji Mafuru amehitimu Chuo cha Mipango Dodoma hivi karibuni na alikuwa katika mazoezi kwa vitendo.
Mratibu wa utafiti katika kituo hicho, Dk Charles Lyamchai alisema tukio hilo limetokea wakati timu ya watafiti wa kituo hicho ikiwa mkoani Dodoma kutekeleza mradi wa kukusanya sampuli za udongo kwa ajili ya kuziingiza kwenye kanzidata ya Taifa.
“Hawa walikuwa kwenye mradi maalumu ambao umeanza mwaka 2014 na wapo wengine watafiti ambao wamesambaa kwenda mkoani Dodoma kwa kazi hii,” alisema.
Aliwataja wengine waliouawa kuwa ni dereva Nicas Magazine na Mtafiti wa maabara ya udongo, Teddy Lumanga.
“Wapo watumishi 10 huko kutoka hapa kituoni, waliokwenda kutekeleza mradi wa kutambua kiwango cha rutuba kwenye udongo nchini ambao tumeshaukamilisha kwenye wilaya zote za mikoa ya Kanda ya Kaskazini na Katavi na wilaya ya Kondoa, hili ni jambo la kushtua sana,” alisema.
Alisema watafiti hao walikuwa katika wiki ya pili na hawakuwa wamepata matatizo yeyote tangu wafike Dodoma, baada ya tukio hilo kiongozi wa msafara aliwasiliana na kituo.
Dk Lyamchai alisema kabla ya kwenda huwa wanatoa taarifa kwa kuandika barua kwenye wilaya husika, pia maeneo ya vijijini huwa wanaambatana na mabwana shamba.
“Watafiti wetu hawana mahusiano yoyote na masuala ya damu, walikuwa kwenye kazi zao na walitoa taarifa hadi ofisi ya kata ila hatujui ni kwa nini tukio hili limejitokeza,” alisema.
Mtafiti mwandamizi wa kituo hicho, Dk Lameck Makoye alisema hawajawahi kukutana na changamoto kubwa kama hiyo hasa maeneo ambayo huwa na historia ya wenyeji wasiopenda wageni.
Alisema Dk Mafuru na watafiti wengine waliondoka jana kwendas Dodoma kuungana na watafiti wengine kutoka Kituo cha Hombolo na Makutupola kwenda eneo la tukio.
Selian ni miongoni mwa vituo maarufu katika Ukanda wa Afrika ya Mashariki na Kati kwa kufanya tafiti za mazao katika maeneo yenye ukame nchini.
↧
Barakah The Prince, Alikiba - Nisamehe [Official Video]
CHUMA BLOG
Ni Single mpya iitwayo Nisamehe ambayo ilirekodiwa April 27, 2016 kwenye studio za producer Emma The Boy na wakali kutoka kwenye label ya Rockstar 4000 Baraka The Prince na Alikiba
Itazame Hapa Chini:

Itazame Hapa Chini:
↧
ACT-Wazalendo waitisha mkutano wa kidemokrasia Kupigania Upatikanaji wa Katiba Mpya
CHUMA BLOG
![]()
Chama cha ACT- Wazalendo kimepanga kuwasha moto mjadala wa Katiba mpya katika mkutano wake kidemokrasia kilioitisha jijini Dar es Salaam Oktoba 8.

Chama cha ACT- Wazalendo kimepanga kuwasha moto mjadala wa Katiba mpya katika mkutano wake kidemokrasia kilioitisha jijini Dar es Salaam Oktoba 8.
Mkutano huo unalenga kufufua mchakato wa Katiba Mpya kwa kuzingatia michakato ya katiba za nchi nyingine za Afrika, alisema Katibu wa itikadi na uenezi wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu alipozungumza na waandishi jijini Dar es Salaam jana.
Alisema katika kupata uzoefu, ACT Wazalendo imemualika Adabu Namwamba, ambaye ni kiongozi wa Chama cha Labour cha Kenya kilichofanikiwa kubadilisha katiba yake baada ya mchakato mrefu.
Aliwataja wageni wengine kuwa ni mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba ambaye naye atatoa mada kuhusu suala hilo.
Mchakato wa kuandika Katiba mpya nchini umekwama katika hatua ya kupiga Kura ya Maoni baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kushindwa kukamilisha uandikishaji wapigakura kwa muda uliotakiwa.
Mchakato huo uligubikwa na vikwazo kadhaa, ikiwa ni pamoja na vyama vinne vya upinzani na baadhi ya wajumbe kususia kwa maelezo kuwa Bunge liliacha Rasimu ya Katiba iliyokuwa na maoni ya wananchi na kuingiza sera za CCM.
Katika mkutano huo, kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe atawasilisha mada kuhusu hali ya nchi kwa mtazamo wa chama hicho.
“Kiongozi wetu atawasilisha uchambuzi mpana wa kina zaidi kuhusu hali ya nchi yetu kiuchumi, kisiasa na kijamii tangu Serikali ya Awamu ya Tano ilipoingia madarakani,” alisema.
Pia, mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Anna Mghwira, ambaye aligombea urais mwaka jana, ataeleza uzoefu wake katika uchaguzi, wakati mshauri wa chama hicho, Profesa Kitila Mkumbo atachambua mwelekeo wa chama hadi mwaka 2020.
“Chama kinatoa wito kwa wananchi wanaotaka kushiriki katika mkutano huo kuwasiliana na ofisi ili kujiandikisha,” alisema.
↧
Diamond Asherekea Birtday yake Akiwa Uchi
↧
↧
TIMU ya Vijana Serengeti Boys Yashindwa Kufuzu Fainali za Africa
CHUMA BLOG
![]()
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys imeshindwa kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika nchini Madagascar mwaka 2017 baada ya kupoteza mchezo wake wa mwisho wa kufuzu dhidi ya Congo Brazzaville kwa kufungwa bao 1-0 ugenini.
Bao pekee katika mchezo huo limefungwa dakika za mwisho katika mchezo huo na kuzima ndoto za watanzania kuisuhudia timu yao ikienda kuliwakisha taifa kwenye michuano mikubwa barani Afrika.
Kocha wa Serengeti Boys Bakari Shime amesema matokeo hayo huenda ni mipango ya Mungu licha ya wao pia kuwa na mipango yao kuhakikisha timu inafuzu kwenye mashindano ya AFCON.
Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Dar es Salaam, Serengeti Boys ilishinda kwa magoli 3-2, hivyo kuruhusu goli 1-0 ugenini kunafanya matokeo ya jumla kuwa 3-3 lakini Tanzania inatupwa nje kwa sheria ya goli la ugenini.

“Ni ngumu hata kuelezea, kimsingi tulifanya kilakitu kizuri na tulifanikiwa kwa kilakitu, game tuliikamata lakini kosa dogo ambalo tumelifdanya wenzetu wakalitumia na kutumaliza. Vijana walicheza vizuri sana hawajawahi kucheza kama walivyocheza leo”.
Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Dar es Salaam, Serengeti Boys ilishinda kwa magoli 3-2, hivyo kuruhusu goli 1-0 ugenini kunafanya matokeo ya jumla kuwa 3-3 lakini Tanzania inatupwa nje kwa sheria ya goli la ugenini.
↧
BREAKING News : Wafanyabiashara Wa Soko Kuu Morogoro wafunga njia Tatu Kuu
CHUMA BLOG
Maeneo ya Runa Morogoro, wafanya biashara wamefunga njia tatu kuu za mjini Hapo akuna kupita Gari wala Pikipiki, Kwa shindikizo la kukosa sehemu ya kenda kufanyia biashara baada ya atua ya manspaa ya Morogoro Mjini kuitaji kubomolewa kwa Soko hilo kupisha ujezi wa jengo jipya.
PATA KUSIKILIZA MAOJIANA NA SHUHUDA
Soko kuu la mjini Morogoro lenye Miaka 63
Maeneo ya Runa Morogoro, wafanya biashara wamefunga njia tatu kuu za mjini Hapo akuna kupita Gari wala Pikipiki, Kwa shindikizo la kukosa sehemu ya kenda kufanyia biashara baada ya atua ya manspaa ya Morogoro Mjini kuitaji kubomolewa kwa Soko hilo kupisha ujezi wa jengo jipya.
PATA KUSIKILIZA MAOJIANA NA SHUHUDA
↧
Magazeti ya Leo Jumanne ya October 4
↧
Tahadhari Kwa Wadada Mnaopenda Kuvaa Shanga Kiunoni...
CHUMA BLOG
Bwana Yesu asifiwe!!!
Wanawake wengi wanapenda kuvaa shanga kiunoni wakiamini zinawavutia wanaume wengi katika mapenzi.
Napenda kutoa tahadhali kwa wanaopenda kuzivaa hasa kiunoni kuwa asilimia 80% ya shanga zinazouzwa zikiwa zimeshasokotwa zinatengenezwa na waganga WA kienyeji au watu ambao ni mawakala WA shetani na kuzinuizia mapepo kwa malengo yafuatayo:
Kuharibu au kuiba nyota za watu
Kuwafunga wanawake uzazi
Kuwaunganisha na mtandao WA kuzimu
Kuvuruga mfumo WA hedhi WA wanawake
Kuwafanya wanawake kuwa makahaba, kwa sbb unatamani kukutana na wanaume wengi ili wakujue km unavaa shanga na unazitumia
Kuwafunga kimafanikio
Kuwafanya wasidumu kwny ndoa wanapoolewa.
Kuwafanya wafikirie ngono zaidi.
Sasa unaweza usinunue kwa mganga lakn aliyetengeneza ni mganga au agent WA shetani.
Ww unaweza kununua kwa MTU na ukamwona WA kawaida, au yeye anaeuza yamkini hajui lakn alyetengeneza alikuwa na kusudi.
Unahitaji kuwa makini sana Dada zangu na vitu vinavyovaliwa sirini.
Ni unaponunua ukazikomboa kwa damu ya Yesu ili kufuta Yale maagano na manuizo yalyoambatanishwa nayo.
Nami ninazikomboa kwa mamlaka ya Jina la Yesu kwa yeyote mwenye nazo nafuta manuizo yote kwa Damu ya Yesu, km unazo TYPE AMEN.

Jamhuri Kiwelu Julio Ametangaza Rasmi Kuachana na Kazi ya Ukocha
CHUMA BLOG
Kocha wa klabu ya Mwadui FC ya Shinyanga Jamhuri Kiwelu Julio, October 2 2016 ametangaza kujiuzulu kufundisha soka la nchini Tanzania kufuatia kutoridhishwa na maamuzi yanayofanywa na marefa uamuzi huo umeonekana kuwashtua walio wengi, hiyo ni baada ya kupata kichapo kutoka kwa Mbeya City akiwa katika uwanja Sokoine Mbeya kwa kupoteza kwa goli 1-0.
Jamhuri Kiwelu Julio baada ya mechi hiyo aliongea na waandishi wa habari na kusema kuwa saivi atakuwa anaenda kuangalia mpira uwanjani ila hawezi tena kuwa kocha wa mpira Tanzania.
“Kuanzia leo na kuendelea, sitaki tena mpira. Najiuzulu mpira moja kwa moja sitaki kwasababu mpira wa Tanzania unachezwa kwa siasa sana. Mpira unachezwa kwa ajili ya kufurahisha watu hata wasiokuwa na uwezo waonekane wanajua, hiki kitu kinaumiza sana”, amesema Julio baada ya mchezo kati ya Mbeya City vs Mwadui uliomalizika kwa vijana wa Julio kulala kwa bao 1-0 ugenini.
“Nimeshafundisha mpira Qatar, Yemen na Dubai lakini sijawahi kufeli lakini kuna kundi la watu wanajua huyu ukimfanyia hivi unamharibia ni kuharibu mpira wetu ndio maana vilabu vyetu vikienda kwenye mashindano ya kimataifa havifanyi vizuri.”
“Kwahiyo kuanzia sasahivi natangaza sitaki kuwa kocha wa mpira wa Tanzania tena labda nikipenda niwe naenda kuangalia mpira lakini kinyume cha hapo sitaki mpira kwasababu tunakoelekea siko. Kuna watu watasikitika kutoka kwangu kwenye mpira lakini kwa kipindi hiki bora nipumzike nifanye kazi nyingine kwanza, mawashuru watanzania wote waliokuwa karibu na Julio.”

Kamanda Sirro apokea hundi ya Milioni 50
CHUMA BLOG
![nssf1]()
![nssf2]()
Msaada huo umetolewa na mkurugenzi wa shirika hilo kupitia Kitengo cha Idara ya Uhusiano na Masoko NSSF, Godius Kabyara katika Ofisi za Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam.
Akizungumza katika hafla hiyo, Kabyara alisema kuwa msaada huo umetolewa kwa mujibu wa sera za shirika katika kuisaidia jamii kwenye nyanja za elimu, afya, mazingira, michezo na maeneo mengine yaliyopo kwenye sera yao.
Alifafanua kuwa NSSF imeona ni vyema ishiriki katika suala zima la kuhifadhi na kulinda jamii na mali zao kwani jamii hiyo ndio ambao shirika linaitegemea kulichangia na kisha kutoa mafao kwake kwa mujibu wa sheria za hifadhi ya jamii.
Aliongeza kuwa mbali na kulichagia kwenye ujenzi huo pia NSSF miaka michache iliyopita liliwezesha ujenzi wa nyumba za polisi kwenye Mkoa wa Dar na Visiwani Pemba, Zanzibar.
Naye Kamanda Sirro alilipongeza shirika hilo kwa kutambua na kuthamini michango inayotolewa na jeshi la polisi katika jamii, akasema kuwa anawashukuru kwani anaamini fedha hizo ni nyingi na zitawezesha kujengwa kwa kituo hicho ambacho kitakuwa cha wilaya, akatumia fursa hiyo kuwaomba wadau wengine kuiga mfano huo.

Mkurugenzi wa shirika hilo kupitia Kitengo cha Idara ya Uhusiano na Masoko NSSF, Godius Kabyara (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh, 50,000,000 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, CP Simon Sirro.

Kamanda Sirro akipokea hundi halisi ya Sh. 50,000,000.
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, CP Simon Sirro leo amepokea msaada wa hundi ya Shilingi 50,000,000 kutoka mfuko wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kusaidia ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Kiluvya-Gogoni Dar.Msaada huo umetolewa na mkurugenzi wa shirika hilo kupitia Kitengo cha Idara ya Uhusiano na Masoko NSSF, Godius Kabyara katika Ofisi za Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam.
Akizungumza katika hafla hiyo, Kabyara alisema kuwa msaada huo umetolewa kwa mujibu wa sera za shirika katika kuisaidia jamii kwenye nyanja za elimu, afya, mazingira, michezo na maeneo mengine yaliyopo kwenye sera yao.
Alifafanua kuwa NSSF imeona ni vyema ishiriki katika suala zima la kuhifadhi na kulinda jamii na mali zao kwani jamii hiyo ndio ambao shirika linaitegemea kulichangia na kisha kutoa mafao kwake kwa mujibu wa sheria za hifadhi ya jamii.
Aliongeza kuwa mbali na kulichagia kwenye ujenzi huo pia NSSF miaka michache iliyopita liliwezesha ujenzi wa nyumba za polisi kwenye Mkoa wa Dar na Visiwani Pemba, Zanzibar.
Naye Kamanda Sirro alilipongeza shirika hilo kwa kutambua na kuthamini michango inayotolewa na jeshi la polisi katika jamii, akasema kuwa anawashukuru kwani anaamini fedha hizo ni nyingi na zitawezesha kujengwa kwa kituo hicho ambacho kitakuwa cha wilaya, akatumia fursa hiyo kuwaomba wadau wengine kuiga mfano huo.
↧
Baraza la Wadhamini CUF Lagoma Kumtambua Profesa Lipumba,Lapanga Kufunga Jengo la Chama
CHUMA BLOG
TAMKO LA BODI YA WADHAMINI YA THE CIVIC UNITED FRONT (CUF – CHAMA CHA WANANCHI) KUFUATIA KIKAO CHAKE KILICHOFANYIKA JANA, TAREHE 2 OKTOBA, 2016
Kwa kuzingatia hali iliojitokeza katika chama chetu cha THE CIVIC UNITED FRONT (CUF – Chama Cha Wananchi) kufuatia hatua ya makusudi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kutupandikizia vurugu na fujo kwa kujipa mamlaka asiyokuwa nayo ya kutuamulia nani awe Mwenyekiti wa Chama, hatua ambayo imesababisha mtu anayeitwa Ibrahim Haruna Lipumba na genge lake tarehe 24 Septemba, 2016 kuvamia na kuhodhi jengo la Ofisi Kuu ya Chama iliyopo Buguruni, Dar es Salaam, Bodi ya Wadhamini ya Chama iliona kuna haja ya kukutana na kuchukua hatua za kukabiliana na matukio hayo.
Bodi ya Wadhamini ya The Civic United Front (CUF – Chama Cha Wananchi) imefanya kikao chake, tarehe 2 Oktoba, 2016 katika Makao Makuu ya Chama, mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Abdallah Said Khatau.
Tumefanya hivyo kwa kutambua wajibu wetu kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Sura 258 ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Political Parties Act, Cap 258) na Katiba ya CUF ya 1992 (Toleo la 2014).
Ni vyema ieleweke kwamba kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, kila chama cha siasa chenye usajili wa kudumu kinapaswa kuunda Bodi ya Wadhamini ambayo ndiyo inayokuwa mmiliki na msimamizi wa mali zote za chama cha siasa husika. Kifungu cha 21 cha Sheria ya Vyama vya Siasa kinalieleza hilo kama ifuatavyo:
“21. —(1) Every political party which has obtained a certificate of full registration shall appoint a board of trustees to manage the properties and any business or investment of the party.
(2) Every board of trustees shall be duly incorporated under the Trustees Incorporation Act and every party shall, not later than sixty days from the date of full registration, submit to the Registrar—
a) the names and addresses of the members of ther board of trustees; and
b) a copy of the certificate of incorporation.”
CUF kilitimiza masharti hayo ya kisheria kwa kuunda Bodi ya Wadhamini, na Katiba ya Chama ya 1992 (Toleo la 2014), Ibara ya 98 ikafafanua zaidi namna inavyopatikana, pamoja na nguvu na uwezo wake kichama, kama ifuatavyo:
“98._ (1) Kutakuwa na Bodi ya Wadhamini ya Chama itakayoteuliwa na Baraza Kuu la Uongozi la Taifa kwa mujibu wa sheria za nchi kwa kipindi cha miaka mitano (5) na mjumbe anaweza kuteuliwa tena baada ya muda wake kumalizika.
(2) Bodi itakuwa na wajumbe wasiozidi tisa (9), watano (5) kutoka Bara angalau wawili (2) wakiwa ni wanawake na wanne (4) kutoka Zanzibar angalau mmoja (1) akiwa ni mwanamke ambao watateuliwa kwa masharti yanayohitajika ya Sheria ya Bodi ya Wadhamini na utaratibu uliowekwa na Baraza Kuu la Uongozi la Taifa.
(3) Bodi ya Wadhamini itakuwa ndiyo mdhamini pekee wa fedha na mali za Chama pamoja na madeni na itafanya shughuli zake kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na sheria ya nchi inayohusu Wadhamini.
(4) Bodi inaweza kushitaki au kushitakiwa kwa niaba ya Chama.
(5) Bodi itawajibika kwa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama ambalo linaweza kuweka utaratibu unaofaa wa kuendesha shughuli za Bodi hiyo, na itafanya vikao vyake angalau mara mbili kwa mwaka.
(6) Mwenyekiti na Naibu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini watachaguliwa na Wajumbe wa Bodi kutoka miongoni mwao, kwa sharti kwamba Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano, Naibu Mwenyekiti atatoka upande mwengine wa Jamhuri ya Muungano.”
MAAMUZI YA BODI YA WADHAMINI:
Kufuatana na uwezo wake uliotajwa hapo juu na kwa kuzingatia nafasi yake kama mdhamini pekee wa fedha na mali za Chama (rejea Ibara ya 98(3) iliyotajwa hapo juu, Bodi ya Wadhamini imefikia maamuzi yafuatayo:
1. Imepuuza wito wa mtu anayeitwa Ibrahim Haruna Lipumba alioutangaza jana kwamba eti amemtaka mtu mwengine anayeitwa Thomas Malima kuitisha kikao cha Bodi ya Wadhamini. Lipumba kwa sasa si Mwenyekiti tena wa CUF na pia si mwanachama wa CUF baada ya kufukuzwa uanachama na Baraza Kuu la Uongozi la Taifa.
2. Itaendelea kuwajibika kwa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama kama inavyotakiwa na Ibara ya 98(5) ambalo ndilo linaloiteua Bodi na litaheshimu maamuzi yote ya Baraza Kuu la Uongozi la Taifa likiwa ndiyo chombo chenye dhamana ya kusimamia uongozi na uendeshaji wa Chama.
3. Itachukua hatua za kisheria chini ya uwezo wake iliopewa na Ibara ya 98(3) na 98(4) kurejesha chini ya dhamana yake mali zote za Chama zilizovamiwa, kuporwa na kuhodhiwa na Ibrahim Lipumba na genge lake ikiwemo jengo la Ofisi Kuu ya Chama iliopo Buguruni, Dar es Salaam.
4. Itachukua hatua za kisheria chini ya uwezo wake iliopewa na Ibara ya 98(4) dhidi ya Ibrahim Lipumba kumtaka alipe gharama na hasara zote alizozisababisha kwa kuvamia Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa wa Chama, tarehe 21 Agosti, 2016 katika Ukumbi wa Blue Pearl, Ubungo Plaza na genge lake kufanya vurugu, ghasia na uharibifu wa mali za hoteli na hatimaye kuvuruga Mkutano Mkuu jambo lililosababisha hasara ya takriban Sh. 600 milioni; na kisha kuvamia Ofisi Kuu ya Chama, Buguruni, Dar es Salaam, tarehe 24 Septemba, 2016 ambapo alisababisha hasara ya takriban Sh. 50 milioni.
5. Itachukua hatua za kisheria chini ya uwezo wake iliopewa na Ibara ya 98(4) kwa kumshtaki Msajili wa Vyama vya Siasa kwa kuingilia maamuzi halali ya vikao halali vya Chama na kulazimisha kukichagulia Chama chetu Mwenyekiti kinyume na onyo lililowahi kutolewa na Mahakama Kuu dhidi ya Ofisi yake kutokuwa na mamlaka ya aina hiyo.
6. Inawahakikishia wanachama wote wa CUF wa Tanzania Bara na Zanzibar kwamba Bodi yao ya Wadhamini iko makini na itasimama pamoja nao kulinda mali zote za Chama.
7. Inaionya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa iwache kuingilia mambo ya ndani ya uongozi na uendeshaji wa Chama cha CUF.
HAKI SAWA KWA WOTE
Abdallah Said Khatau
MWENYEKITI WA BODI
Joran Lwehabura Bashange
KATIBU WA BODI
↧
Aliyetoa taarifa za maiti kufufuka ikiwa mochwari ashikiliwa na Polisi
CHUMA BLOG
![]()

Jeshi la polisi mkoa wa Singida, linamshikilia askari mgambo mwajiriwa hospitali ya mkoa, MG 7822 Emmanuel Daghau (42) kwa tuhuma ya kutoa taarifa za uongo juu ya maiti kufufuka ikiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa.
Imedaiwa kuwa uongo huo ulizua mtafaruku mkubwa kwa ndugu na jamaa wa merehemu Rahel Erasto (28), aliyekuwa mkazi wa Minga manispaa ya Singida.
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SSP Mayala Towo, alisema tukio hilo limetokea Septemba, 30 mwaka huu, majira ya alasiri huko katika hospitali ya mkoa mjini hapa.
Akifafanua, kaimu kamanda huyo alisema kuwa Septemba, 29 mwaka huu Rahel (marehemu) alifikishwa katika hospitali hiyo ya mkoa, kwa ajili ya kupata huduma za kujifungua salama.
“Kutokana na sababu za kitabibu Rahel, alishindwa kujifungua kwa njia ya kawaida na hivyo ililazimika kufanyiwa upasuaji ambapo mtoto wa kiume alitolewa akiwa hai, Lakini mama kwa bahati mbaya alifariki dunia usiku saa saba Septemba, 30. Mimba hiyo ilikuwa ya kwanza kwa marehemu Rahel,” alisema kaimu kamanda huyo.
Akifafanua zaidi, alisema kuwa baada ya Rahel kufariki dunia, mwili wake ulipelekwa mochwari ambapo kesho yake, ndugu walijikusanya eneo hilo wakijadiliana namna kuuchukua mwili kwa ajili ya kwenda kuzika.
Alisema kuwa wakati ndugu wakiendelea kuzungumzia masuala ya mazishi, alijitokeza mlinzi Daghau na kuwaeleza kuwa ndugu yao huyo, alifariki kutokana na uzembe na kwamba usiku akiwa kwenye doria za kawaida, alisikia marehemu akipiga chafya na aliposogelea dirishani, alimwona akiwa amefufuka.
Towo alisema kuwa awali mgambo huyo baada ya kuhojiwa na Polisi, alikiri kumwona marehemu huyo akiwa amefufuka na alisikia akipiga chafya. Alikiri kwa maandishi na kuweka saini yake.
Alisema lakini baada ya Emmanuel kubaini kuwa baadhi ya ndugu wa marehemu na watoa huduma za afya hospitali ya mkoa kudai kuwa Rahel amefariki dunia kutokana na matatizo ya kawaida ya uzazi na wala hakufa na kufufuka, alipohojiwa mara ya pili, alikana maelezo yake ya awali aliyotoa kwa Polisi.
Wifi wa marehemu Rahel, Mary Mpaki, alikiri kuwa alimsikia mlinzi Emmanuel wakati akiwatangazia waombolezaji kuwa marehemu amefariki dunia kutoka na uzembe wa madaktari, na kwamba alipelekwa chumba cha kuhifadhia maiti akiwa hai.
“Kama ndugu wa marehemu ambao baada ya kufanyiwa upasuaji kuna ndugu ambao walitaka kulala wodini lakini hawakuruhusiwa.Tuliposikia maneno ya mlinzi huyo, tuliamini kwa asilimia mia moja maneno yake kwamba Rahel alipelekwa mochwari akiwa bado yu hai,” alisema kwa masikitiko.
Mary alisema baada ya taarifa ya mlinzi huyo, walienda moja kwa moja kituo cha Polisi kutoa taarifa hizo za kusikitisha.
Ndugu wa marehemu ambaye hakutaka jina lake litajwe, alisema taarifa iliyotolewa na mlinzi kuwa Rahel alifufuka na kupiga chafya, zitakuwa ni za ukweli kwa sababu Ni mtu mwenye akili, hawezi kudanganya jambo hilo.
“Tunasikia kwamba mlinzi kala matapishi yake kwa kitendo cha kukanusha taarifa alizotoa awali kituo cha Polisi. Kama amefanya hivyo, itakuwa kuna shinikizo amepata hivyo anatafuta njia ya kujiokoa,” alisema.
Kaimu mganga mkuu wa mkoa, Dk.Ramadhani Kabala, alikiri kuwepo kwa taarifa hizo na kudai kwa sasa mwili wa marehemu unaendelea kufanyiwa uchunguzi, ili kutambua kama kweli Rahel alifufuka na kupiga chafya akiwa ndani ya chumba cha kuhifadhia maiti.
“Ingawa si rahisi binadamu kufufuka baada ya kufariki dunia, lakini hatuwezi kuzipuuza taarifa hizi za mlinzi. Ipo timu inaongozwa na daktari bingwa kutoka wiraza ya mambo ya ndani, Dk.Ahmed Makata inaendelea na uchunguzi wa kina. Kwa hiyo baada ya kumalizika kwa uchunguzi, tutawaita waandishi wa habari kuwaeleza ukweli ili muweze kuitaarifu jamii,” alisema Dk.Kabala.
Kwa upande wake mkuu wa mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe, alikiri kupokea taarifa hiyo ya aina yake, na kwamba zipo timu mbili zinaendelea na kuchunguzi ili ukweli uweze kubainika.
↧
↧
Tingatinga Lafukua Mamilioni Pesa Arusha
CHUMA BLOG
KAMA wewe unadhani huna fedha, basi kuna wengine ambao wamezichimbia ardhini, tena kwa mamilioni. Benki ya chini ya ardhi iliyosheheni mamilioni ya fedha, zilizoswekwa ndani ya mifuko myeusi ya plastiki na kufukiwa mchangani, imechimbuliwa na matrekta ya kutengeneza barabara jijini Arusha huku noti nyekundu zikitawanywa kila kona na kufanyika kuwa 'Sadakalawe - Amina,' kwa kila mpita njia ambaye angeweza kujitwalia fungu.
Ilikuwa ni mshikemshike katika eneo la Mianzini mjini hapa, ambako kuna mradi mkubwa wa upanuzi wa barabara ya kutoka Mianzini Mataa hadi Ilkiding'a unaoendelea.
Watu walipigana vikumbo katika harakati za kujineemesha na fedha zilizokuwa zimetapakaa eneo hilo. Ikiwa imesheheni noti tupu, tena nyekundu na mpya, kufumuliwa kwa akaunti hiyo ya benki ya chini ya ardhi pamoja na kuwa neema kwa wapita njia na wakazi wa eneo hilo, kuligeuka pia kuwa kilio kwa mmiliki wa hazina hiyo, Christopher Akoonay maarufu kama 'Mmbulu' ambaye sasa amejipatia jina jingine la 'Mabulungutu.'
Akonaay ni mkulima, lakini hasa akijishughulisha na ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Yeye hudamka asubuhi kukamua mifugo hao na kisha kusambaza bidhaa hiyo ya maziwa katika maeneo mengi ya jiji katika kuwauzia wakazi wa Arusha.
Na katika siku ya tukio, Akonaay alikuwa yuko kwenye shughuli zake za kuwapelekea maziwa wateja wake, ndipo watengeneza barabara walipofika eneo hilo la Mianzini na tingatinga zao na kuanza kuichimba njia hiyo ya kutoka Mianzini hadi Ilkiding'a katika kata ya Ilboru, inayotenganisha Jiji la Arusha na wilaya ya Arumeru.
Ikiwa imejengwa kwa fito na matope, nyumba ya 'Mmbulu' ilikuwa miongoni mwa zile zilizobomolewa na ni baada ya wamiliki wake, kugoma kuzibomoa wenyewe ili kupisha upanuzi wa barabara hiyo.
“Shauri letu tulilipeleka mahakamani kudai fidia kabla ya mradi wa barabara haujapita hapa,” alisema Akonaay na kuongeza kuwa mara baada ya kesi yao kutupiliwa mbali na chombo hicho cha sheria, wajenzi hawakusubiri hata saa moja ipite, bali walikwenda moja kwa moja eneo hilo na kuanza kazi.
Baadhi ya wakazi wa Mianzini, wakizungumzia suala hilo kwa masharti ya kutotajwa majina, walisema ni ajabu kwa Mzee Akonaay kuwa na kiasi kikubwa cha fedha na kuzifukia ardhini huku mwenyewe akiishi kwenye nyumba duni ya matope.
Lakini Akonaay ambaye kwa sasa anaitwa 'Mabulungutu,' anasema kuwa alikosa imani na benki maana wakati akifanya kazi serikalini miaka ya 1980, alifungua akaunti na akawa anaweka fedha zake zote benki.
Baada ya kustaafu mwaka 1994 na kuamua kushughulika na ufugaji, hakuzifuatilia tena fedha zake benki hadi mwaka 2000, ambako alipokwenda kuangalia fedha zake aliambiwa kuwa kwa sababu akaunti yake haikuguswa kwa zaidi ya miaka 10, alitakiwa aende Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kujieleza. Hata hivyo, aliona huo ni usumbufu na kuamua kuanza kuweka fedha zake nyumbani.
Lakini hii pia ilimtokea puani baada ya mmoja wa ndugu zake kuzikwapua zote mara baada ya kuzifuma katika vitita vyenye thamani ya Sh milioni 20 na zaidi. Sasa Akonaay akaja na mkakati mpya wa kuhifadhi fedha kwa kuchimba shimo katikati ya chumba chake cha kulala, kilichokuwa upande wa barabara ya Mianzini na kuanza kuweka hazina yake humo.
Lakini tena, bahati mbaya ikiendelea kumuandama, makatapila ya wachonga barabara, yakaifukua benki yake hiyo ya ardhini na kutawanya fedha zaidi ya Sh milioni 35 zilizoishia kuokotwa na wapita njia pamoja na majirani, ambao kwa hofu hawakupenda hata kulizungumzia sakata hilo.

Wameongezeka watanzania watatu kwenye list ya kuwania tuzo MTV MAMA 2016
CHUMA BLOG
![]()
![.]()
Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo hizo katika kipengele cha Artist of the Year ambacho anachuana na Black Coffee (South Africa), Sauti Sol (Kenya), Yemi Alade (Nigeria), Wizkid (Nigeria).
Mara ya kwanza Diamond Platnumz alitajwa kuwania kipengele cha Best Male ambacho anachuana na Black Coffee (South Africa), Wizkid (Nigeria), AKA (South Africa), Patoranking (Nigeria).
![.]()
Vanessa Mdee anawania kipengele kimoja cha Best Female ambacho anachuana na Josey (Ivory Coast), Mz Vee (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria), Yemi Alade (Nigeria).
![.]()
Huku Uganda ikiwa imewakilishwa na wasanii wawili ambao ni Eddy Kenzo anayewania kipengele cha Best Live Act pamoja na Sheeba anayewania kipengele cha Video of the Year pamoja na Bebe Cool katika kipengele cha Listener’s Choice Awards.
![ctyazk3w8aa_xn0]()
Raymond wa WCB ametajwa kuwania kipengele cha Best Breakthrough Act ambacho anachuana na Babes Wodumo (South Africa), Emtee (South Africa), Falz (Nigeria), Franko (Cameroon), Nasty C (South Africa), Nathi (South Africa), Simi (Nigeria), Tekno (Nigeria), Ycee (Nigeria).
![deya]()

Sept 21, 2016 majina ya mwanzo ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016 yalitajwa huku Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na kundi la Navy Kenzo pamoja na Alikiba ndio wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo kubwa za Africa za MTV Africa Music Awards 2016.
Sasa basi habari njema leo October 2, 2016 MTV MAMA 2016 wametaja majina mengine ya wasanii watakaowania tuzo hizo ambapo kwa upande wa Tanzania wameongezeka wasanii watatu akiwemo Raymond wa WCB, Vanessa Mdee na Yamoto Band.

.
Mara ya kwanza Diamond Platnumz alitajwa kuwania kipengele cha Best Male ambacho anachuana na Black Coffee (South Africa), Wizkid (Nigeria), AKA (South Africa), Patoranking (Nigeria).

.

.
Alikiba ametajwa kwa mara ya pili kuwania kipengele cha Song of the Year kupitia wimbo aliyoshirikishwa na Sauti Sol uitwao Unconditionally Bae.
Kenya imewakilishwa na kundi la Sauti Sol katika kipengele cha Song of the year na Artist of the year pamoja na Kansoul kwenye kipengele cha Listerners Choice Awards.

Raymond wa WCB ametajwa kuwania kipengele cha Best Breakthrough Act ambacho anachuana na Babes Wodumo (South Africa), Emtee (South Africa), Falz (Nigeria), Franko (Cameroon), Nasty C (South Africa), Nathi (South Africa), Simi (Nigeria), Tekno (Nigeria), Ycee (Nigeria).

Yamoto Band wametajwa kuwania kipengele cha Listener’s Choice Awards ambacho wanachuana na Burna Boy (Nigeria), Adiouza (Senegal), Kansoul (Kenya), Meddy (Rwanda), Prince Kaybee (South Africa), Zaho (Algeria), Kiss Daniel (Nigeria), E.L (Ghana), Bebe Cool (Uganda), Latifa (Tunisia), Saad Lamjarred (Morocco), Tamer Hosny (Egypt), Jay Rox (Zambia), The Dogg (Namibia), Sidiki Diabate (Mali), Adiouza (Senegal), Den G (Liberia), Jah Prayzah (Zimbabwe), LIJ Michael (Ethiopia), Messias Maroca (Mozambique).
Hivi ndio vipengele 7 vipya vya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016, Jumamosi ya 22 October 2016 kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome Afrika Kusini.
BEST BREAKTHROUGH ACT
Babes Wodumo (South Africa)
Emtee (South Africa)
Falz (Nigeria)
Franko (Cameroon)
Nasty C (South Africa)
Nathi (South Africa)
Raymond (Tanzania)
Simi (Nigeria)
Tekno (Nigeria)
Ycee (Nigeria)
BEST FRANCOPHONE
Franko (Cameroon)
J-RIO (Gabon)
Magasco (Cameroon)
Serge Beynaud (Ivory Coast)
Toofan (Togo)
BEST FEMALE
Josey (Ivory Coast)
Mz Vee (Ghana)
Vanessa Mdee (Tanzania)
Tiwa Savage (Nigeria)
Yemi Alade (Nigeria)
ARTIST OF THE YEAR
Black Coffee (South Africa)
Diamond Platnumz (Tanzania)
Sauti Sol (Kenya)
Yemi Alade (Nigeria)
Wizkid (Nigeria)
SONG OF THE YEAR
Sauti Sol & Alikiba (Kenya/Tanzania)
Franko (Cameroon)
Babes Wodumo ft Mampintsha (South Africa)
AKA, Burn Boy, Khuli Chana & Yanga (South Africa)
Dj Maphorisa ft Wizkid- Soweto
Patoranking ft Wande Coal (Nigeria)
Emtee ft Wizkid & AKA – Roll up
Kwesta ft Cassper Nyovest (South Africa)
Korede Bello (Nigeria)
Harrysongz ft Olamide, Kcee, Iyanya, Orezi (Nigeria)
Olamide (Nigeria)
VIDEO OF THE YEAR
Anatii & Cassper ft Nasty C (South Africa)
PhFAT ft Al Bairre (South Africa)
Tiwa Savage (Nigeria)
Sheeba (Uganda)
Youssoupha (Congo)
LISTENERS CHOICE AWARDS
Burna Boy (Nigeria)
Adiouza (Senegal)
Kansoul (Kenya)
Meddy (Rwanda)
Yamoto Band (Tanzania)
Prince Kaybee (South Africa)
Zaho (Algeria)
Kiss Daniel (Nigeria)
E.L (Ghana)
Bebe Cool (Uganda)
Latifa (Tunisia)
Saad Lamjarred (Morocco)
Tamer Hosny (Egypt)
Jay Rox (Zambia)
The Dogg (Namibia)
Sidiki Diabate (Mali)
Adiouza (Senegal)
Den G (Liberia)
Jah Prayzah (Zimbabwe)
LIJ Michael (Ethiopia)
Messias Maroca (Mozambique)
↧
PICHA : Uvunjwaji wa soko kuu mkoa wa Morogoro Na Muonekano wa Sasa
CHUMA BLOG
Uvunjwaji wa soko kuu la Mkoa wa Morogoro unaoendelea sasa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa, umelalamikiwa na baazi ya wafanya biashara wa soko hilo kwa madai kwamba hawajapewa muda wa kutosha. Akiongea na ubalozini.blogspot.com katika eneo la soko hilo, mmoja ya wafanya biashara hao aliyejitambulisha kwa jina la ABdallah Saidi amesema, wamesikitishwa na hatua zilizofanywa na manispaa ambazo zimeleta asara kubwa kwa wafanya biashara hao
![]()
![]()

↧