Quantcast
Channel: CHUMA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Wameongezeka watanzania watatu kwenye list ya kuwania tuzo MTV MAMA 2016

$
0
0
CHUMA BLOG


Sept 21, 2016 majina ya mwanzo ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016 yalitajwa huku  Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na kundi la Navy Kenzo pamoja  na Alikiba ndio wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo kubwa za Africa za MTV Africa Music Awards 2016.

Sasa basi habari njema leo October 2, 2016 MTV MAMA 2016 wametaja majina mengine ya wasanii watakaowania tuzo hizo ambapo kwa upande wa Tanzania wameongezeka  wasanii watatu akiwemo Raymond wa WCB, Vanessa Mdee na Yamoto Band.

.
.
Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo hizo katika kipengele cha Artist of the Year ambacho anachuana na Black Coffee (South Africa), Sauti Sol (Kenya), Yemi Alade (Nigeria), Wizkid (Nigeria).
Mara ya kwanza Diamond Platnumz alitajwa kuwania kipengele cha Best Male ambacho anachuana na Black Coffee (South Africa), Wizkid (Nigeria), AKA (South Africa),  Patoranking (Nigeria).

.
.
Vanessa Mdee anawania kipengele kimoja cha Best Female ambacho anachuana na Josey (Ivory Coast), Mz Vee (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria), Yemi Alade (Nigeria).

.
.

Alikiba ametajwa kwa mara ya pili kuwania kipengele cha Song of the Year kupitia wimbo aliyoshirikishwa na Sauti Sol uitwao Unconditionally Bae.

Kenya imewakilishwa na kundi la Sauti Sol katika  kipengele cha Song of the year na Artist of the year pamoja na Kansoul kwenye kipengele cha Listerners Choice Awards.

ctysp5vwgaa3v8k
 Huku Uganda ikiwa imewakilishwa na wasanii wawili ambao ni Eddy Kenzo  anayewania kipengele cha Best Live Act pamoja na Sheeba anayewania kipengele cha Video of the Year pamoja na Bebe Cool katika kipengele cha Listener’s Choice Awards.
ctyazk3w8aa_xn0
Raymond wa WCB ametajwa kuwania kipengele cha Best Breakthrough Act ambacho anachuana na  Babes Wodumo (South Africa), Emtee (South Africa), Falz (Nigeria), Franko (Cameroon), Nasty C (South Africa), Nathi (South Africa), Simi (Nigeria), Tekno (Nigeria), Ycee (Nigeria).
deya

Yamoto Band wametajwa kuwania kipengele cha Listener’s Choice Awards ambacho wanachuana na Burna Boy (Nigeria), Adiouza (Senegal), Kansoul (Kenya), Meddy (Rwanda), Prince Kaybee (South Africa), Zaho (Algeria), Kiss Daniel (Nigeria), E.L (Ghana), Bebe Cool (Uganda), Latifa (Tunisia), Saad Lamjarred (Morocco), Tamer Hosny (Egypt), Jay Rox (Zambia), The Dogg (Namibia), Sidiki Diabate (Mali), Adiouza (Senegal), Den G (Liberia), Jah Prayzah (Zimbabwe), LIJ Michael (Ethiopia), Messias Maroca (Mozambique).

Hivi ndio vipengele 7  vipya vya wasanii watakaowania  tuzo za MTV MAMA 2016, Jumamosi ya 22 October 2016 kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome Afrika Kusini.

BEST BREAKTHROUGH  ACT

Babes Wodumo (South Africa)

Emtee (South Africa)

Falz (Nigeria)

Franko (Cameroon)

Nasty C (South Africa)

Nathi (South Africa)

Raymond (Tanzania)

Simi (Nigeria)

Tekno (Nigeria)

Ycee (Nigeria)

BEST FRANCOPHONE

Franko (Cameroon)

J-RIO (Gabon)

Magasco (Cameroon)

Serge Beynaud (Ivory Coast)

Toofan (Togo)

BEST FEMALE

Josey (Ivory Coast)

Mz Vee (Ghana)

Vanessa Mdee (Tanzania)

Tiwa Savage (Nigeria)

Yemi Alade (Nigeria)

ARTIST OF THE YEAR

Black Coffee (South Africa)

Diamond Platnumz (Tanzania)

Sauti Sol (Kenya)

Yemi Alade (Nigeria)

Wizkid (Nigeria)

SONG OF THE YEAR

Sauti Sol & Alikiba (Kenya/Tanzania)

Franko (Cameroon)

Babes Wodumo ft Mampintsha (South Africa)

AKA, Burn Boy, Khuli Chana & Yanga (South Africa)

Dj Maphorisa ft Wizkid- Soweto

Patoranking ft Wande Coal (Nigeria)

Emtee ft Wizkid & AKA – Roll up

Kwesta ft Cassper Nyovest (South Africa)

Korede Bello (Nigeria)

Harrysongz ft Olamide, Kcee, Iyanya, Orezi (Nigeria)

Olamide (Nigeria)

VIDEO OF THE YEAR

Anatii & Cassper ft Nasty C  (South Africa)

PhFAT ft Al Bairre (South Africa)

Tiwa Savage (Nigeria)

Sheeba (Uganda)

Youssoupha (Congo)

LISTENERS CHOICE AWARDS 

Burna Boy (Nigeria)

Adiouza (Senegal)

Kansoul (Kenya)

Meddy (Rwanda)

Yamoto Band (Tanzania)

Prince Kaybee (South Africa)

Zaho (Algeria)

Kiss Daniel (Nigeria)

E.L (Ghana)

Bebe Cool (Uganda)

Latifa (Tunisia)

Saad Lamjarred (Morocco)

Tamer Hosny (Egypt)

Jay Rox (Zambia)

The Dogg (Namibia)

Sidiki Diabate (Mali)

Adiouza (Senegal)

Den G (Liberia)

Jah Prayzah (Zimbabwe)

LIJ Michael (Ethiopia)

Messias Maroca (Mozambique)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2614

Trending Articles